Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Alikuwa anasafiria nyota ya tanzania ya mzalendo magufuli....kwa sasa dunia imesha mjua kuwa ni mpumbavu tu...no one care abaut him..hivyo hana tena mvuto ...uongozi ni AKILI SIYO ELIMU NA MWANAMKE YOYOTE ULIMWENGU KANYIMWA AKILI YA UONGOZI...ANAWEZA KUWA NA AKILI NYINGINE ZOTE ILA HII YA UONGOZI KAMWE MWANAMKE AWEZI KUWA NAYO ......AKILI YA UONGOZI NDIYO AKILI HADIMU KULIKO AKILI ZOTE KWA WANADAMU....HATA KWA WANAUME NI WACHACHE TU NDIYO WALIYO NAYO YA KUTOSHASiku hizi zile safari kapunguza naona anamtuma JK.
Acha ngonjera za kike na kitoto hii midomo yenu mnehamishia barabarani shwaini nyie.Huna wasiwasi maana mumeo kashakujengea nyumba, lakini safari hii siasa za kidalali zimefikia mwisho.
Aya makosa pia alifanya MagufuliAmeaminishwa kuwa Lissu ndiye adui yake namba moja na akaamini uongo huo, ila akumbuke alionywa na Mzee Ruksa kuwa adui yako siyo wapinzani bali ni wavaa kijani wenzako.
Ohoooooooo!!!!Kwa Tanzania Rais ni Alfa na Omega
Kwa Tanzania sio katiba Wala Sheria vyote vipo chini ya Rais na anaweza kumpoteza mtu yeyote na watu tukapiga kelele lakini hasirudi Kama Mzee Kibao!!
kwa Tanzania Rais ndiye katiba na ndiye Sheria ndiye msigina katiba na Sheria namba moja, ndiye mwizi namba moja, ndiye katili mamba moja!!
Sasa inakuwaje watu wanapanga mambo gizani Rais hajuwi ?
je Rais Samia unayajuwa yote yanayopangwa gizani? Je una uhakika wewe ndiye mgombe wa urais kupitia kijani mwaka huu?
una uhakika unayo watuma wasiadizi wako ndio wanayoyafanya?
una uhakika unashauriwa vizuri na washauri wako ?
Rais Samia be careful !!
Hahaha mkuu nashukuru sana, huwa naikubali sana hyo sentence ya hayo mavyeo. Sidhani kama kuna atakae mfikia kwa hawa viongozi wengine.'His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular'.