Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,952
- 4,416
Wasaidizi wako wanakudanganya kwa sababu wanafaidika na “kitu kidogo” Usidanganywe na hao wanaokushauri kuhusu utoaji vibali vya wageni.
Kwanza kazi nyingi humu nchini zinaweza kufanywa na wazawa. Kuna umuhimu wa kua na limit ya wageni ambao kampuni inaruhusiwa kuwaingiza humu nchini.
Ukiruhusu wageni zaidi ya 5 kwenye kampuni unakua unawapa nguvu ya kufanya madudu. Kama ukwepaji kodi. Unawapa nguvu ya kutengeneza co-ordination ya ukwepaji kodi.
Hii issue hayati Magufuli aliweza kuigundua na ndo maana akaweka limit ya wageni wanaoruhusiwa kuingizwa na kampuni husika. Kwa bahati mbaya huu mfumo umerudi na Uhamiaji ndo wanaosapoti sana kwa sababu ni njia yao ya kupata rushwa ya ku re-new vibali.
Kwako. Mh Rais, tunaipenda sana nchi yetu na hatutaki wachache wanaojaribu kuiharibu kwa ajili ya manufaa binafsi. #KaziIendelee