Mbona Mwendazake kaondoka na Nchi ina DENI KUBWA?Kinachoendelea Tanzania ni Uhaini unao fanywa na baadhi ya mawaziri wa serikali ya awamu ya sita, haiwezekani mgao wa maji ufike mpaka Vijijini hivi ninavyoandika nipo Marangu mtoni maji yanatoka kwa Don mmoja aliyechimba maji chini...
Ma- CCM yalipoifanya nchi yetu kuwa Police State, na Waliokata Uno kushangilia Uhayawani huo matokeo yake Wote tunaumia Sasa.
Upuuzi gani alioondoa Mwendazake.Kinachoendelea Tanzania ni Uhaini unao fanywa na baadhi ya mawaziri wa serikali ya awamu ya sita, haiwezekani mgao wa maji ufike mpaka Vijijini hivi ninavyoandika nipo Marangu mtoni maji yanatoka kwa Don mmoja aliyechimba maji chini...
Ma- CCM yalipoifanya nchi yetu kuwa Police State, na Waliokata Uno kushangilia Uhayawani huu kwa sasa matokeo yake Wote tunaumia.
Kinachoendelea Tanzania ni Uhaini unao fanywa na baadhi ya mawaziri wa serikali ya awamu ya sita, haiwezekani mgao wa maji ufike mpaka Vijijini hivi ninavyoandika nipo Marangu mtoni maji yanatoka kwa Don mmoja aliyechimba maji chini.
Kama hiyo haitoshi Leo ni siku tatu umeme unakatika saa kumi na mbili unarudi muda usio julikana.
Mh Raisi tumesikia umealikwa kwenda China tafadhali tunakuomba usiende ukatuacha kwenye Giza na ukosefu wa maji hii ni hatari Kwa Taifa kiusalama.
Mwisho Rais Nina swali kwako na Kwa watawala wenzako hivi Raia Magufuli aliwezaje kuondoka upuuuzi huu UKIWA Makamu ila Leo hii UKIWA Rais unashindwa kumuiga?
Mh Rais usiliache Taifa katika Giza tafadhali