Rais Samia usiende China ukaacha nchi haina maji wala umeme

Mboga na samaki zikiwa hazipo nyumbani baba asiende kazini alale na wewe,Hivi wewe ni mke wa aina gani unashauri mume wako mambo kama haya
Mwacheni akazurule tu maana kama kuzurula kuna mtu alisha wahi kuzurula kama Kikwete!?
Tulipata nini? Hata alipoulizwa swali akiwa katika uzurulaji wake kwa nini Tanzania ni masikini licha ya rasilimali ilizo nazo akajibu! "SIJUI" Empty head were leading the great nation!
 
Tuna maziwa mengi na Mito alafu bado tuna upungufu wa maji na umeme hii serikali ni serikali dhaifu Sana.
 
Kuna mtu kaniambia huko dar kuna sehemu sahivi umeme umekatika,ukijumlisha na mgawo wa maji basi ni balaaa

Ova
Hakuna cha ajabu, vyanzo vya mto Ruvu ndio vyanzo vya mito ya mabwawa ya kuzalisha umeme yaliyopo Mtera, Kidatu, Kihansi.

Tulipowambia msome sayansi na uhandisi mkaona mnachelewa kupata pesa mkakimbilia uhasibu, siasa, sheria, journalism, utawala, uchungaji, sanaa, eti hamtaki kusumbua vichwa.

Tulia sindano ituingie kwa pammoja. Kifo cha wengi ni harusi Amen.
 
Umechelewa na tayari Nguo zake za Kuvaa akiwa huko zimeshapakiwa katika Mabegi tayari kwa Ziara hiyo.

Kwani kutokuoga Kwenu au Kukosa Maji Yeye kunamhusu nini wakati Ikulu kuna Maji ya kutosha mpaka ya Kunywa Mijusi na Sisimizi?

Magufuli kwanini umeondoka upesi?
 
Wameingiaje kinyemela?kwa hiyo hawa viongozi wetu hajaingia kikatiba?
 
Tuna maziwa mengi na Mito alafu bado tuna upungufu wa maji na umeme hii serikali ni serikali dhaifu Sana.
Vitu vya kushangaza kweli yani, huko kwenye nchibza wenzetu raslimali zinaweza kutolewa Km nyingi kupelekwa maeneo mbalimbali, sisi tumeshindwa hata kuyasambaza maji ya ziwa Victoria ili yafuke kwenye mikoa walau 7 tu inayolizunguka.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu upeo ulioonyesha hapa ndio upeo wa waafrika wengi, "shortsighted "!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…