Rais Samia usifikiri unaungwa mkono, wanakuangalia tu wakichoka watarudisha mpira kati

Eagle W

Member
Joined
Oct 12, 2024
Posts
23
Reaction score
36
Wanazengo wanasema ushauri si lazima upokelewe ila mjumbe hauwawi.

Nimeona na mimi niandike kwasababu uwezo ninao na nia pia juu ya haya yanayoendelea kila mtu anaruhusiwa kuandika lake liwe la kweli au uongo sio kosa.

Mimi kama Mtanzania wa kawaida kabisa ninachokiona kinaendelea nchini napata mashaka makubwa sana hasa nikilinganisha na utawala uliopita wa JPM.

Mambo yalifikia level ya kutovumilika juu ya yaliyokuwa yanasadikika yanafanywa na serikali(polisi) kwa mkono wa WASIOJULIKANA yakiwa na baraka za serikali

FAST FOWARD: hizi serikali zetu zinaonekana vibaya mbele ya serikali za dunia, hata ujitahidi kuvaa vipi wao wanakuchungulia watakavyo wakichoka na wewe na matendo yako wanarudisha mpira kati (unaweza ukaona ugumu ukiwa umezungukwa na walinzi wenye nyota zilizojaa mabegani ila hao si kitu mbele yao wanaowapa mafunzo-mnawajua)

Hao wavaa kanzu wanaonunua bandari na BRT ndio marafiki wao wakubwa na hawafurukuti kwa lolote na wanatii kila wanaloambiwa sasa unadhani wakiamriwa kufanya uungwana watashindwa wakati wanajua wao wamezungukwa na maadui na kaka yao ndio mlinzi mkuu huo ukanda wao

JPM na ukakamavu wake wote ambao mpaka wewe mwenyewe ulikiri Simba wa Yuda alikua hachezewi sharubu ameondoka na ulinzi wake mkali na wa kila namna ila mdudu akapenyeza akamdondosha mzee wa watu.

SHTUKA MAMA YETU utaacha wajukuu mapema.
 
nimeona na mimi niandike kwasababu uwezo ninao na nia pia juu ya haya yanayoendelea kila mtu anaruhusiwa kuandika lake liwe la kweli au uongo sio kosa.

mimi kama MTZ wa kawaida kabisa ninachokiona kinaendelea nchini napata mashaka makubwa sana hasa nikilinganisha na utawala uliopita wa JPM. mambo yalifikia level ya kutovumilika juu ya yaliyokuwa yanasadikika yanafanywa na serikali(polisi) kwa mkono wa WASIOJULIKANA yakiwa na baraka za serikali

FAST FOWARD: hizi serikali zetu zi UCHI mbele ya serikali za dunia, hata ujitahidi kuvaa vipi wao wanakuchungulia watakavyo wakichoka na wewe na matendo yako wanarudisha mpira kati (unaweza ukaona ugumu ukiwa umezungukwa na walinzi wenye nyota zilizojaa mabegani ila hao si kitu mbele yao wanaowapa mafunzo-mnawajua)

Hao wavaa kanzu wanaonunua bandari na BRT ndio marafiki wao wakubwa na hawafurukuti kwa lolote na wanatii kila wanaloambiwa sasa unadhani wakiamriwa kufanya uungwana watashindwa wakati wanajua wao wamezungukwa na maadui na kaka yao ndio mlinzi mkuu huo ukanda wao

JPM na ukakammavu wake wote ambao mpaka wewe mwenyewe ulikiri SIMBA WA YUDA alikua hachezewi sharubu ameondoka na ulinzi wake mkali na wa kila namna ila mdudu akapenyeza akamdondosha mzee wa watu.

SHTUKA MAMA YETU utaacha wajukuu mapema.
well said! Watanganyika tudai nchi yetu na li muungano livunjwe.
 
Naamini kuna kundi analiamini linampoteza hatari. Bahati mbaya hata taarifa za huku nje wanampelekea za kumpamba tu. Hawampelelei halisi ilivyo. Ndio maana Magu aliwin upande huo ksbb alikuwa anakuwa na taarifa sahihi kwanza yeye. Inakoelekea sasa kijani wataacha kuvaa manguo yao barabarani watazomewa sana.,kama ilivyo kuwa hapo nyuma. Kuna namna nyingi wananchi kupeleka ujumbe
 
******* nyie. Njooni mfanye lolote kama mnaweza. Nyie kina nani mumtishie raisi. Wapumbavu sana. Jaribuni muone
Utapandisha kisukari Bure ..hizi sio dalili nzuri
 
******* nyie. Njooni mfanye lolote kama mnaweza. Nyie kina nani mumtishie raisi. Wapumbavu sana. Jaribuni muone
wewe nae ponjoro tu kwasababu mwingine anachezesha kamari mwingine ni mtukanaji
 
Wanazengo wanasema ushauri si lazima upokelewe ila mjumbe hauwawi.

Nimeona na mimi niandike kwasababu uwezo ninao na nia pia juu ya haya yanayoendelea kila mtu anaruhusiwa kuandika lake liwe la kweli au uongo sio kosa.

Mimi kama Mtanzania wa kawaida kabisa ninachokiona kinaendelea nchini napata mashaka makubwa sana hasa nikilinganisha na utawala uliopita wa JPM.

Mambo yalifikia level ya kutovumilika juu ya yaliyokuwa yanasadikika yanafanywa na serikali(polisi) kwa mkono wa WASIOJULIKANA yakiwa na baraka za serikali

FAST FOWARD: hizi serikali zetu zinaonekana vibaya mbele ya serikali za dunia, hata ujitahidi kuvaa vipi wao wanakuchungulia watakavyo wakichoka na wewe na matendo yako wanarudisha mpira kati (unaweza ukaona ugumu ukiwa umezungukwa na walinzi wenye nyota zilizojaa mabegani ila hao si kitu mbele yao wanaowapa mafunzo-mnawajua)

Hao wavaa kanzu wanaonunua bandari na BRT ndio marafiki wao wakubwa na hawafurukuti kwa lolote na wanatii kila wanaloambiwa sasa unadhani wakiamriwa kufanya uungwana watashindwa wakati wanajua wao wamezungukwa na maadui na kaka yao ndio mlinzi mkuu huo ukanda wao

JPM na ukakamavu wake wote ambao mpaka wewe mwenyewe ulikiri Simba wa Yuda alikua hachezewi sharubu ameondoka na ulinzi wake mkali na wa kila namna ila mdudu akapenyeza akamdondosha mzee wa watu.

SHTUKA MAMA YETU utaacha wajukuu mapema.
Aache wajukuu mara ngapi? Parapanda tayari wanasubiri tu kutangaza
 
Back
Top Bottom