GE2025 Rais Samia usikubali kufanya uchaguzi bila ushiriki wa CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,503
Reaction score
15,858
Nakuomba sana mama yangu mpendwa, Rais Samia suluhu Hassan. Uchaguzi wa mwaka huu ndiyo njia Yako pekee ya kukubaliwa na wananchi. Achana na misemo ya walioshindwa mfano: If you lose, lose big and also if you win, win big.

Taifa lipo kwenye ukimya mkubwa sana, naweza nisijue mawazo ya washauri wako lakini Mh Rais usikubali ubatili katika awamu ya pili na ukizingatia umri wako na namna ulivyopokea madaraka. Please take this.
 
CCM hawawezi kukuelewa uwezo wao umegota
CCM wanatumia mfumo wa unyumbu wa kisiasa kuongoza nchi

Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi kwanjia ya kujipendekeza ama kwa uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and hypocrite well defined as self-absorbed group
 
Mshauri wake mkuu ni mwanae Abdul na Jakaya kama hamjui sasa, yule anataka familia yake itoke madarakani wakiwa billionares na ukwasi wa kupindukia na kikwete azidi kuimarisha investment zake . Thats what yule kijana mshenzi anachotamani. Abdul na kikwete is everything right now, na huyo samia hawezi kwenda kinyume nao, unajua why?........... niishie hapa for today
Sio msoga gang? Maana wale ni hatari yeyote akienda tofaut na wao.
 
Nakuomba sana mama yangu mpendwa, Rais Samia suluhu Hassan. Uchaguzi wa mwaka huu ndiyo njia Yako pekee ya kukubaliwa na wananchi. Achana na misemo ya walioshindwa mfano: If you lose, lose big and also if you win, win big.

Taifa lipo kwenye ukimya mkubwa sana, naweza nisijue mawazo ya washauri wako lakini Mh Rais usikubali ubatili katika awamu ya pili na ukizingatia umri wako na namna ulivyopokea madaraka. Please take this.
Kumshauri huyo ni kama unatwanga maji kwenye kinu. Hakuna mtu mbishi kama anayekaribia kutapeliwa, mwenyewe anaona siasa ameipatia na anawakomoa Chadema kumbe ndiyo anailekeza CCM qibla isubirie kisu tu.
 
Back
Top Bottom