Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Yani anapenda mambo mepesiiiiiii anadhani kutawala watu wasiomtaka atakua na amaniChauma ya John Mrema ndo wapinzani wa Samia😁
Chama kikuu cha upinzani na cha wananchi!kwamba chadema ni nani apewe uzito huo
Mkuu unajua maana ya uungwaji mkono?Sioni umuhimu wa Chadema kushiriki , Act wazalendo na Chauma wanatosha, Chadema waendelee kusubiri reform.
Sijui lakini najua maana yake haiwezi kuwa ChademaMkuu unajua maana ya uungwaji mkono?
😆😆😆😆Nin rahisi kumshauri mbwa atembee na miguu miwili atafuata ushauri wako kuliko kumshauri huyo
CHAUMWAChauma ya John Mrema ndo wapinzani wa Samia😁
Wewe shupaza fuvu tukwamba chadema ni nani apewe uzito huo
CCM hawawezi kukuelewa uwezo wao umegotaNakuomba sana mama yangu mpendwa, Rais Samia suluhu Hassan. Uchaguzi wa mwaka huu ndiyo njia Yako pekee ya kukubaliwa na wananchi. Achana na misemo ya walioshindwa mfano: If you lose, lose big and also if you win, win big.
Taifa lipo kwenye ukimya mkubwa sana, naweza nisijue mawazo ya washauri wako lakini Mh Rais usikubali ubatili katika awamu ya pili na ukizingatia umri wako na namna ulivyopokea madaraka. Please take this.
Sio msoga gang? Maana wale ni hatari yeyote akienda tofaut na wao.Mshauri wake mkuu ni mwanae Abdul na Jakaya kama hamjui sasa, yule anataka familia yake itoke madarakani wakiwa billionares na ukwasi wa kupindukia na kikwete azidi kuimarisha investment zake . Thats what yule kijana mshenzi anachotamani. Abdul na kikwete is everything right now, na huyo samia hawezi kwenda kinyume nao, unajua why?........... niishie hapa for today
Kumshauri huyo ni kama unatwanga maji kwenye kinu. Hakuna mtu mbishi kama anayekaribia kutapeliwa, mwenyewe anaona siasa ameipatia na anawakomoa Chadema kumbe ndiyo anailekeza CCM qibla isubirie kisu tu.Nakuomba sana mama yangu mpendwa, Rais Samia suluhu Hassan. Uchaguzi wa mwaka huu ndiyo njia Yako pekee ya kukubaliwa na wananchi. Achana na misemo ya walioshindwa mfano: If you lose, lose big and also if you win, win big.
Taifa lipo kwenye ukimya mkubwa sana, naweza nisijue mawazo ya washauri wako lakini Mh Rais usikubali ubatili katika awamu ya pili na ukizingatia umri wako na namna ulivyopokea madaraka. Please take this.
tulia tupate chama kingine kipya cha upinzanWewe shupaza fuvu tu