Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Kuwa mpwa sio hoja, kuwa Mkwe sio hoja. Wala kuwa classmate sio habari kabisa. Tusichukie watu bila kuwa na sababu.. Hoja iwe wamekosea nini na wapi. Kumuita mtu mwizi bila kuwa na ushahidi ni kosa. Leteni ushahidi basi ili tuseme kwa usahihi...Hayo yote hatajawahi kuondoka, kuna Mayanga construction, kuna mpwa kuteuliwa kuwa mkuu wa hazina, kuna ya Airport kujengwa kijijini kwa mtu mmoja.