Rais Samia, Usiruhusu wakugombanishe na umma

Hayo yote hatajawahi kuondoka, kuna Mayanga construction, kuna mpwa kuteuliwa kuwa mkuu wa hazina, kuna ya Airport kujengwa kijijini kwa mtu mmoja.
Kuwa mpwa sio hoja, kuwa Mkwe sio hoja. Wala kuwa classmate sio habari kabisa. Tusichukie watu bila kuwa na sababu.. Hoja iwe wamekosea nini na wapi. Kumuita mtu mwizi bila kuwa na ushahidi ni kosa. Leteni ushahidi basi ili tuseme kwa usahihi...
 
Unajiabisha sana.

Ni wapi nilipoandika utafiti ufanywe kwa watu milioni 60?

Mi nadhani una matatizo ya akili.
Ukirudi nyuma na kusoma mabandiko yako yote katika mtiririko wa majibishano yetu, utaona kwamba una kitu hakiko sawa.

Hayo mambo ya 'research' hakuna unachoweza kunifundisha. Amini usiamini, huo ndio ukweli.
 
You are clearly a disgrace.

Hujajibu chochote katika aliyo andika mkuu 'Yoda'; badala yake unarukaruka tu kuparamia mambo yasiyohusu yaliyoandikwa.

Mambo aliyoorodhesha ni mifano sahihi kabisa kuhusu uhitaji wa katiba, wewe unarukia kwingine kabisa kusikohusika na kilichoandikwa.

Huko kutohitaji kwa katiba mpya kwa wananchi wa Tanzania, wewe ulikupata wapi? Kwenye utafiti wa hayo magroup yako ya kwenye mitandao? Sampo hiyo ndiyo sampo sahihi ya wananchi wa Tanzania?

Sasa ujue kwamba CHADEMA na NGO wanaohimiza uwepo wa Katiba mpya watawaendea wananchi, na ni wananchi hao ndio watakaolazimisha pawepo na mchakato wa katiba mpya.

Subiri huyo kiongozi wako unayedhani yeye ndiye mwenye madaraka yote ya kuamua kila jambo kama unavyojidanganya hapa.
 
Jaji Werema uliyesema CCM inaweza kumtuma azungumzie katiba tayari amekwisha zungumza.

"Tumepitia wakati mgumu sana katika miaka mitano iliyopita ambapo madaraka makubwa ya rais ya kufanya vitu bila kuhojiwa na bila kuwajibika yalionekana. Madaraka makubwa ya rais yamekuwa ni hoja ya wanaotaka mabadiliko ya Katiba," Jaji Frederick Werema, AG Mstaafu.
 
Rwanda wanayo katiba mbovu tu lakini Kagame kaiweka sawa nchi. Katiba ni taratibu tu za kimaandishi za kuiongoza nchi kama watu hawajitumi na sio wabunifu katiba haiwezi kuleta kitu kipya.
 
Fahamu kwamba;

Rwanda bado ni nchi maskini sana inayotegemea misaada kutoka magharibi na wizi wa rasilimali DRC.Tumewazidi Rwanda kila kitu kiuchumi.

Rwanda wapinzani wanapotezwa, wanapigwa risasa hadi wale waliojificha uhamishoni,wanafungwa na wananya'anganywa mali zao kupitia sheria kandamizi.

Unaposema Kagame kaiweka nchi sawa fafanua kaiweka vipi nchi sawa.
Rwanda wanayo katiba mbovu tu lakini Kagame kaiweka sawa nchi. Katiba ni taratibu tu za kimaandishi za kuiongoza nchi kama watu hawajitumi na sio wabunifu katiba haiwezi kuleta kitu kipya.
 
Hakuna rais afrika ambaye hajawahi kuua au hajawahi kusaini nchi yake iingie kwenye mapigano huku akichangia wanajeshi. Tunaita kulinda amani.

Kagame kaifungua Rwanda na ipo vizuri kiuchumi.
 
Hujui hata unachotetea
Hakuna rais afrika ambaye hajawahi kuua au hajawahi kusaini nchi yake iingie kwenye mapigano huku akichangia wanajeshi. Tunaita kulinda amani.

Kagame kaifungua Rwanda na ipo vizuri kiuchumi.
 
Trump na chama chake cha Republican wanaendelea kufanya mikutano ya kisiasa ya kampeni kwa ajili uchaguzi wa 2024 wakati huu Joe Biden akiwa Rais wa Marekani na ni mwaka jana tu wametoka katika uchaguzi.
 
Sasa sijui mkuu 'kilatha' ataisemea vipi hiyo nukuu toka kwa Jaji uliyomwekea hapo juu!
 
Wewe katiba mpya haikuletei ugali mezani, wananchi hatutaki siasa tunataka pesa.

Ila wewe huwezi kuelewa maana kila kitu anakuhudumia mumeo

Katiba mpya itaondoa viongozi lukuki wanakula kodi zetu hovyo na kuiba mali ya umma, kumbuka kuwa katiba mpya ndio sheria mama. Katiba mpya itaongeza uwajibikaji wa viongozi tunaochagua, kwani wanajua wanaweza kuja kushtakiwa, hawawezi kufanya ujinga. Mawaziri wanaweza kuwa wanaajiriwa, huwezi kuwa na waziri mjinga mjinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…