Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Vijana wa Tanzania kutokubali kutiwa maneno na kushawishiwa ili waharibu amani akiwasihi wailinde amani ya Taifa kwa kulindana wenyewe na kuambiana na kuhakikisha yaliyotokea October 29, 2025 hayatokei tena.
Rais Samia amesema hayo leo May 08,2026 wakati akiongea na Wananchi Jijini Dodoma kabla ya kuelekea Dar es salaam.
Soma Pia: Rais Samia: Lililotokea halikuwa jema kwa yeyote lakini walivyokamatwa kama mama nikasema waachieni. Yaliyotokea yametia doa kwenye Taifa letu
“Niwaombe sanasana kama kweli mmekusudia never again kama fulana zenu zinavyosema, niwaombe sasa mlindane wenyewe kwa wenyewe na msikubali kutiwa maneno kuharibu usalama wetu na nchi yetu kwa ujumla, lililotokea nyuma halikuwa jema kwa yoyote na mtego ule anaingia aliyekuwemo na asiyekuwemo”