Rais Samia: Vijana waliopita JKT wanapaswa kubeba uzalendo wa Nchi moyoni na sio mdomoni

Mm n familia yangu pamoja na ukoo wangu tunataka bandari yetu tu.
Asante
 
Nasisitiza uzalendo unaanzia kwa viongoz wa Nchi kama mfano!!
 
Viongozi wote wa nchi hii wanajiita wazalendo lakini kila mwaka kuna ripoti za kuibwa mabilioni ya shilingi sasa sijui kuna vibwengo vinatoka sayari ya jupiter vinakuja kuiba na kusaini mikataba mibovu Bongo!
 
Hivi huyu mazeri alipita hata JKT kweli manake simwelewi kabisa
 
Uzalendo huwa unaanza na kiongozi Namba 1 aliyopo madarakani sio blabla unakuwa mzalendo halafu ukikaa hivi unasikia mawzari amekwapua Bilion mmoja halafu yupo madarakani na raisi afanyi chochote
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi machawa ndo wana anzaga namna hii, au huyu anajichetue kutafuta umaarufu hapa JF??

Kuna convoo hapo juu, nacheka km mwehuu, lol
 
Yeye amebeba nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…