Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
TakbirNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita , nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Amesema ya kuwa katika lile lililotokea yaani akimaanisha maandamano yaliyotokea na kufanywa na vijana . Yalisababishwa kwa kiasi kikubwa na vijana ambao walifuata tu mkumbo. Hayo yamezungumzwa na Mama yetu Mpendwa katika maneno yake ya shukurani baada ya kupokelewa hii leo .
Katika safari yake maalumu inayompeleka katika shughuli muhimu ya kuwatunuku kamisheni maafisa wetu wa jeshi katika chuo cha Jeshi kilichopo pale Monduli mkoani Arusha.
Rais wetu Mpendwa amesisitiza sana juu ya kutunza amani ya Taifa letu . Na kusema ya kuwa kila kitu tutakachohitaji kufanya kinahitaji na kutegemea kwa kiasi kikubwa sana uwepo wa amani ,utulivu na usalama ndani ya Taifa letu.
Lakini pia Rais wetu Mpendwa amewahakikishia wananchi juu ya uwepo wa amani na usalama wa kutosha Nchini.View attachment 3505499
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jana ...walilipwa. Leo tena .....wamefata mkumbo.....au ndio damu za watu zimeanza kufanya kaziNdugu zangu Watanzania,

Ndugu zangu Watanzania,

Lakini pia Rais wetu Mpendwa amewahakikishia wananchi juu ya uwepo wa amani na usalama wa kutosha Nchini.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
View attachment 3505508
Wewe na huyo mamako wote vilaza tu.Ndugu zangu Watanzania,

Kadri upepo inavyozidi kuvuma nyeti za kuku zinakua nje!Walitoka nje
Walitumwa na TEC
Walifuata mkumbo
Walilipwa kuandamana
Walitumwa na CHADEMA🥺
Hajui ashike lipi aache lipi na lipi aende nalo... They are confused. Full of doublespeaking , propaganda and a lot of takatakaWalitoka nje
Walitumwa na TEC
Walifuata mkumbo
Walilipwa kuandamana
Walitumwa na CHADEMA🥺
Hatokuja apate amani ya moyo maisha yake yote. Ataishi kwa kuweweseka mpaka pumzi yake ya mwisho.Walitoka nje
Walitumwa na TEC
Walifuata mkumbo
Walilipwa kuandamana
Walitumwa na CHADEMA🥺
Elimu ya naniElimu za Hapa na Pale