PostGE2025 Rais Samia: Vijana wengi Walifuata Mkumbo Hawakujua Walilolifanya

PostGE2025 Rais Samia: Vijana wengi Walifuata Mkumbo Hawakujua Walilolifanya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita , nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.

Amesema ya kuwa katika lile lililotokea yaani akimaanisha maandamano yaliyotokea na kufanywa na vijana . Yalisababishwa kwa kiasi kikubwa na vijana ambao walifuata tu mkumbo. Hayo yamezungumzwa na Mama yetu Mpendwa katika maneno yake ya shukurani baada ya kupokelewa hii leo .

Katika safari yake maalumu inayompeleka katika shughuli muhimu ya kuwatunuku kamisheni maafisa wetu wa jeshi katika chuo cha Jeshi kilichopo pale Monduli mkoani Arusha.

Rais wetu Mpendwa amesisitiza sana juu ya kutunza amani ya Taifa letu . Na kusema ya kuwa kila kitu tutakachohitaji kufanya kinahitaji na kutegemea kwa kiasi kikubwa sana uwepo wa amani ,utulivu na usalama ndani ya Taifa letu.

Lakini pia Rais wetu Mpendwa amewahakikishia wananchi juu ya uwepo wa amani na usalama wa kutosha Nchini.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.


View attachment 3505508
Screenshot_20251122-091801~2.png
 
Nadhani asiyejua afanyalo sio hao vijana bali ni mwingine..., na katika maisha tunayoishi ya kushikana kama kuku kwenye Tenga la Mlanguzi Sokoni unaweza ukafill the blanks ninamsema nani...
 
Walitoka nje
Walitumwa na TEC
Walifuata mkumbo
Walilipwa kuandamana
Walitumwa na CHADEMA🥺
Ungesoma hesabu za set usingeshangaa hilo, tatizo wakati wenzio tupo darasani wewe ukishinda vilinge vya uchawi tanga
 
Back
Top Bottom