Katiba ni sasa
Hivi mkisema "mnasimama na wananchi" mnamaanisha wananchi wa nchi gani?
Watanzania wengi tupo upande wa Magufuli aliyetuboreshea maisha yetu tukaingia uchumi wa kati, siyo hawa vibaraka wa mabeberu.
Watanzania wa Burundi bila shaka.Watanzania wengi tupo upande wa Magufuli aliyetuboreshea maisha yetu tukaingia uchumi wa kati, siyo hawa vibaraka wa mabeberu.
Bila kusahau katiba mpya