Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
๐ ๐ ๐ ๐ Washenzi sana ila Rais mtu wa huruma sana , Magufuli angepita nao.Unachosema kipo, CAG anasema Watumishi 238 wana vyeti vyenye za kidato cha zinazofanana. Kwa mfumo wa NECTA wa sasa sio rahisi namba za form four zifanane.
View attachment 2967807
Mbona taasisi zenye vyeti feki kuanzia mabosi wake huzitaji?
....majeshi yote (magereza, polisi na JWTZ), huku watafutwa kazi wote.
Hao ndio wenyeweMbona taasisi zenye vyeti feki kuanzia mabosi wake huzitaji?
....majeshi yote (magereza, polisi na JWTZ), huku watafutwa kazi wote.
Ruto kakutana na watu kama buku 2 ,kasema atawafungulia mashtaka watudishe na pesa mshahara wote
Nchi hii imechezewa sana miaka ya 90's watu kadhaa walijaza kwa kufoji vyeti, kwa kweli phase ya pili ipite.
Samia mwenyewe vyeti vyake vina mashakaMimi kwangu ukiniuliza the first genius president kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, in good spirit nitamtaja JPM.
Mpaka leo bado najiuliza yule MSUKUMA aliwezaje wezaje! Tukiri kuwa kwa TZ, jamii ya wasukuma huwa wanajua sana kusimamia mambo na yakaenda, shida kubwa tu ya wasukuma ni hawana soft skills.
Pamoja na jitihada zake, only 45% ya watumishi hewa na wenye vyeti feki ndio waliguswa, hii 55% bado ipo na kuna chances imeongezeka.
Tuna wasomi na graduates wengi mtaani. hatuna shida ya wasomi kwa sasa, hawa watu WAONDOLEWE . Kama mtu anaweza kufoji cheti, hii ni hatari na hasa kwenye taasisi nyeti.
Phase namba 2 a comprehensive audit ya kusafisha hawa watu ifanywe na this time they have to pay the govt for inconvenience .
Ruto, ameiga alichofanya JPM, he conducted a simple audit and found 2100 wana vyeti fake kwenye government offices.
Nashauri second comprehensive audit for public Servants . Tuanze na mashirika kama TRA, wizara zote, NIMR, EWURA.TMDA, NHIF, NSSF, MSD, GPSA, TTCL, TANROAD , MOI, JKCI, MNH.
Taarifa zisizo rasmi ni kuwa hawa watu wapo kwenye taasisi za Umma na baadhi yao walirudi baada ya kifo cha late JPM.
Currently kwa taarifa ambazo pia sio rasmi, hawa watu wameshaongezeka lakini na mishahara hewa nayo inatembea kama kawaida.
Hii ni whistle blower, Utumishi fanyeni kazi yenu, sio kila kitu Rais aseme ndio mfanye
aisee kwa kwelii usafii wa kina ufanyweee, wazee wa vyeti wanadunda kitaa mno..kenya apo naskia kuna mijitu imeanza kuchukua compassionate leave ili isepe serikalini kabla ya kuchukuliwa hatuaa za kisheriaa
Vyeti fake hatusemi ila tunajua wale waliokuwa wanabebana eti wana elimu ndio hao ,ni hatari sana kuna taasisi mpaka watu wakubwa wapo hivyo.And he said. I intend to do it , hao Watu by J3 wa we wame resign .
Nchi za Africa ni tatizo sana
Tunaelekea kwenye uchaguzi nowMimi kwangu ukiniuliza the first genius president kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, in good spirit nitamtaja JPM.
Mpaka leo bado najiuliza yule MSUKUMA aliwezaje wezaje! Tukiri kuwa kwa TZ, jamii ya wasukuma huwa wanajua sana kusimamia mambo na yakaenda, shida kubwa tu ya wasukuma ni hawana soft skills.
Pamoja na jitihada zake, only 45% ya watumishi hewa na wenye vyeti feki ndio waliguswa, hii 55% bado ipo na kuna chances imeongezeka.
Tuna wasomi na graduates wengi mtaani. hatuna shida ya wasomi kwa sasa, hawa watu WAONDOLEWE . Kama mtu anaweza kufoji cheti, hii ni hatari na hasa kwenye taasisi nyeti.
Phase namba 2 a comprehensive audit ya kusafisha hawa watu ifanywe na this time they have to pay the govt for inconvenience .
Ruto, ameiga alichofanya JPM, he conducted a simple audit and found 2100 wana vyeti fake kwenye government offices.
Nashauri second comprehensive audit for public Servants . Tuanze na mashirika kama TRA, wizara zote, NIMR, EWURA.TMDA, NHIF, NSSF, MSD, GPSA, TTCL, TANROAD , MOI, JKCI, MNH.
Taarifa zisizo rasmi ni kuwa hawa watu wapo kwenye taasisi za Umma na baadhi yao walirudi baada ya kifo cha late JPM.
Currently kwa taarifa ambazo pia sio rasmi, hawa watu wameshaongezeka lakini na mishahara hewa nayo inatembea kama kawaida.
Hii ni whistle blower, Utumishi fanyeni kazi yenu, sio kila kitu Rais aseme ndio mfanye
Watumishi wenye vyeti feki hawana tofauti na wezi au matapeliMimi kwangu ukiniuliza the first genius president kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, in good spirit nitamtaja JPM.
Mpaka leo bado najiuliza yule MSUKUMA aliwezaje wezaje! Tukiri kuwa kwa TZ, jamii ya wasukuma huwa wanajua sana kusimamia mambo na yakaenda, shida kubwa tu ya wasukuma ni hawana soft skills.
Pamoja na jitihada zake, only 45% ya watumishi hewa na wenye vyeti feki ndio waliguswa, hii 55% bado ipo na kuna chances imeongezeka.
Tuna wasomi na graduates wengi mtaani. hatuna shida ya wasomi kwa sasa, hawa watu WAONDOLEWE . Kama mtu anaweza kufoji cheti, hii ni hatari na hasa kwenye taasisi nyeti.
Phase namba 2 a comprehensive audit ya kusafisha hawa watu ifanywe na this time they have to pay the govt for inconvenience .
Ruto, ameiga alichofanya JPM, he conducted a simple audit and found 2100 wana vyeti fake kwenye government offices.
Nashauri second comprehensive audit for public Servants . Tuanze na mashirika kama TRA, wizara zote, NIMR, EWURA.TMDA, NHIF, NSSF, MSD, GPSA, TTCL, TANROAD , MOI, JKCI, MNH.
Taarifa zisizo rasmi ni kuwa hawa watu wapo kwenye taasisi za Umma na baadhi yao walirudi baada ya kifo cha late JPM.
Currently kwa taarifa ambazo pia sio rasmi, hawa watu wameshaongezeka lakini na mishahara hewa nayo inatembea kama kawaida.
Hii ni whistle blower, Utumishi fanyeni kazi yenu, sio kila kitu Rais aseme ndio mfanye
Hawa ni makada wa CCM huwezi kuwatoaRuto kakutana na watu kama buku 2 ,kasema atawafungulia mashtaka watudishe na pesa mshahara wote
Nchi hii imechezewa sana miaka ya 90's watu kadhaa walijaza kwa kufoji vyeti, kwa kweli phase ya pili ipite.
We akili zako km za marehemuMimi kwangu ukiniuliza the first genius president kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, in good spirit nitamtaja JPM.