Rais Samia, vyeti feki na wafanyakazi hewa kwenye taasisi za Umma bado ni tatizo

Mbona taasisi zenye vyeti feki kuanzia mabosi wake huzitaji?
....majeshi yote (magereza, polisi na JWTZ), huku watafutwa kazi wote.

Huko hata JPM alishauriwa apaache, jeshini iligundulika 60% wanavyeti fake . Sasa ukiwatoa watu kama hao ambao have been trained for years ……. Unaenda kupeleka tatizo mtaani

Watu wanaojua silaha zinakaa wapi, namna ya kuzitumia , ni hatari Sana

So ikashauri waachwe…. Maana hata kazi zao ni on job training , na huwa wanatumika vitani as front line .

Ila TISS ambao sio wanajeshi, wapigwe audit na watolewe wenye vyeti feki, ndio mana bar wamejaa vijana washisha, utasikia mimi kitengo, wengi wao ni academic failures walipata hizo kazi over recommendations, wapigwe audit na waingie mtaani;

TISS ya sasa mtu mmoja anakuwa na very small oortion ya information, mostly kwenye Eneo lake husika.

maana unaweza kuwa upo kitengo but kazi yako ni muhasibu, au engineer

So hawa watu hawana impact ni watumishi kama watumishi wengine na wengine kazi yao ni Umbeya, kuchukua taarifa fulan kuhamisha sehemu fulan , wapigwe audit na watolewe
 
Ruto kakutana na watu kama buku 2 ,kasema atawafungulia mashtaka watudishe na pesa mshahara wote

Nchi hii imechezewa sana miaka ya 90's watu kadhaa walijaza kwa kufoji vyeti, kwa kweli phase ya pili ipite.

And he said. I intend to do it , hao Watu by J3 wa we wame resign .

Nchi za Africa ni tatizo sana
 
Mimi kwangu ukiniuliza the first genius president kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, in good spirit nitamtaja JPM.

Mpaka leo bado najiuliza yule MSUKUMA aliwezaje wezaje! Tukiri kuwa kwa TZ, jamii ya wasukuma huwa wanajua sana kusimamia mambo na yakaenda, shida kubwa tu ya wasukuma ni hawana soft skills.

Pamoja na jitihada zake, only 45% ya watumishi hewa na wenye vyeti feki ndio waliguswa, hii 55% bado ipo na kuna chances imeongezeka.

Tuna wasomi na graduates wengi mtaani. hatuna shida ya wasomi kwa sasa, hawa watu WAONDOLEWE . Kama mtu anaweza kufoji cheti, hii ni hatari na hasa kwenye taasisi nyeti.

Phase namba 2 a comprehensive audit ya kusafisha hawa watu ifanywe na this time they have to pay the govt for inconvenience .

Ruto, ameiga alichofanya JPM, he conducted a simple audit and found 2100 wana vyeti fake kwenye government offices.

Nashauri second comprehensive audit for public Servants . Tuanze na mashirika kama TRA, wizara zote, NIMR, EWURA.TMDA, NHIF, NSSF, MSD, GPSA, TTCL, TANROAD , MOI, JKCI, MNH.

Taarifa zisizo rasmi ni kuwa hawa watu wapo kwenye taasisi za Umma na baadhi yao walirudi baada ya kifo cha late JPM.

Currently kwa taarifa ambazo pia sio rasmi, hawa watu wameshaongezeka lakini na mishahara hewa nayo inatembea kama kawaida.

Hii ni whistle blower, Utumishi fanyeni kazi yenu, sio kila kitu Rais aseme ndio mfanye
Samia mwenyewe vyeti vyake vina mashaka
 
aisee kwa kwelii usafii wa kina ufanyweee, wazee wa vyeti wanadunda kitaa mno..kenya apo naskia kuna mijitu imeanza kuchukua compassionate leave ili isepe serikalini kabla ya kuchukuliwa hatuaa za kisheriaa
 
Ruto anatambaa nao, nadhan enzi ya JPM
walikuwa wanatonyana resign kabla ya audit ili uje kupata mafao yako

Ruto anatambaa nao na anawwashitaki kweli , yule ni JPM wa kenya full misimamo

Amesema
For your information you guys , I intend to do it and I don’t care about consequences….. you should be out by Monday
 
Tuanze na mkubwa kwanza kukataa cheti chake fake alichotunukiwa kule Kwa mwarabu
 
And he said. I intend to do it , hao Watu by J3 wa we wame resign .

Nchi za Africa ni tatizo sana
Vyeti fake hatusemi ila tunajua wale waliokuwa wanabebana eti wana elimu ndio hao ,ni hatari sana kuna taasisi mpaka watu wakubwa wapo hivyo.
 
Mimi kwangu ukiniuliza the first genius president kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, in good spirit nitamtaja JPM.

Mpaka leo bado najiuliza yule MSUKUMA aliwezaje wezaje! Tukiri kuwa kwa TZ, jamii ya wasukuma huwa wanajua sana kusimamia mambo na yakaenda, shida kubwa tu ya wasukuma ni hawana soft skills.

Pamoja na jitihada zake, only 45% ya watumishi hewa na wenye vyeti feki ndio waliguswa, hii 55% bado ipo na kuna chances imeongezeka.

Tuna wasomi na graduates wengi mtaani. hatuna shida ya wasomi kwa sasa, hawa watu WAONDOLEWE . Kama mtu anaweza kufoji cheti, hii ni hatari na hasa kwenye taasisi nyeti.

Phase namba 2 a comprehensive audit ya kusafisha hawa watu ifanywe na this time they have to pay the govt for inconvenience .

Ruto, ameiga alichofanya JPM, he conducted a simple audit and found 2100 wana vyeti fake kwenye government offices.

Nashauri second comprehensive audit for public Servants . Tuanze na mashirika kama TRA, wizara zote, NIMR, EWURA.TMDA, NHIF, NSSF, MSD, GPSA, TTCL, TANROAD , MOI, JKCI, MNH.

Taarifa zisizo rasmi ni kuwa hawa watu wapo kwenye taasisi za Umma na baadhi yao walirudi baada ya kifo cha late JPM.

Currently kwa taarifa ambazo pia sio rasmi, hawa watu wameshaongezeka lakini na mishahara hewa nayo inatembea kama kawaida.

Hii ni whistle blower, Utumishi fanyeni kazi yenu, sio kila kitu Rais aseme ndio mfanye
Tunaelekea kwenye uchaguzi now
 
Watumishi wenye vyeti feki hawana tofauti na wezi au matapeli
 
Ruto kakutana na watu kama buku 2 ,kasema atawafungulia mashtaka watudishe na pesa mshahara wote

Nchi hii imechezewa sana miaka ya 90's watu kadhaa walijaza kwa kufoji vyeti, kwa kweli phase ya pili ipite.
Hawa ni makada wa CCM huwezi kuwatoa
 
Mimi kwangu ukiniuliza the first genius president kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, in good spirit nitamtaja JPM.

Mpaka leo bado najiuliza yule MSUKUMA aliwezaje wezaje! Tukiri kuwa kwa TZ, jamii ya wasukuma huwa wanajua sana kusimamia mambo na yakaenda, shida kubwa tu ya wasukuma ni hawana soft skills.

Pamoja na jitihada zake, only 45% ya watumishi hewa na wenye vyeti feki ndio waliguswa, hii 55% bado ipo na kuna chances imeongezeka.

Tuna wasomi na graduates wengi mtaani. hatuna shida ya wasomi kwa sasa, hawa watu WAONDOLEWE . Kama mtu anaweza kufoji cheti, hii ni hatari na hasa kwenye taasisi nyeti.

Phase namba 2 a comprehensive audit ya kusafisha hawa watu ifanywe na this time they have to pay the govt for inconvenience .

Ruto, ameiga alichofanya JPM, he conducted a simple audit and found 2100 wana vyeti fake kwenye government offices.

Nashauri second comprehensive audit for public Servants . Tuanze na mashirika kama TRA, wizara zote, NIMR, EWURA.TMDA, NHIF, NSSF, MSD, GPSA, TTCL, TANROAD , MOI, JKCI, MNH.

Taarifa zisizo rasmi ni kuwa hawa watu wapo kwenye taasisi za Umma na baadhi yao walirudi baada ya kifo cha late JPM.

Currently kwa taarifa ambazo pia sio rasmi, hawa watu wameshaongezeka lakini na mishahara hewa nayo inatembea kama kawaida.

Hii ni whistle blower, Utumishi fanyeni kazi yenu, sio kila kitu Rais aseme ndio mfanye
We akili zako km za marehemu
 
Watanzania kwa pamoja tukubali nchi imepoteza DIRA na hii iwe ni hali ya dharura itangazwe.

Kazi aliyoianza JPM iliishia only 25% kwa phase zote, kwanini Samia haendelezi hii kazi, badala yake watumishi hewa na vyeti fake walirudi na wengine kulipwa pesa zao.

A simple audit iliyofanywa na Rais Dr Mwinyi imebaini weakness na mishahara hewa zaid ya Bil 2 kwenye sekta maalum za SMZ .

Huko Bara kuna uozo mkubwa lakini Samia yupo angani muda wote huku nchi inazidi kuliwa itakavyo, mwigulu yupo busy kuiweka nchi kwenye deni kubwa la Taifa hali ya kuwa kuna upotevu mkubwa wa fedha za umma na usimamizi mmbovu wa fedha za umma.

Kitu pekee ninachoona Rais wetu mpendwa Dr Samia Suluhu Hassan anachofanya ni kuwa angani, kuteua na kutengua na kuhakikisha mji umechafuka kwa mabango yake yenye cheap politics .

Ni nani mwenye jukumu la usimamizi wa fedha za umma.?

Kwa sasa tunawasomi wengi kwanini nchi inawatumishi hewa? Vyeti fake ?

Tanzania sio masikini wa kukopa kila kukicha, tatizo kubwa hatuna usimamizi thabiti wa mapato ya walipa kodi, usimamizi wa pesa za umma na kuzuia mianya ya rushwa.

Tukubali kuwa kuna shida kubwa kwenye uongozi wa Samia, lakini chawa wote mnahaki ya kuamini sisi ni wapinzani badala ya wasema ukweli, uzuri tupo kwenye nyumba moja inayoharibiwa, kama haitokuathiri wewe leo , basi kizazi chako, au ndugu zako.

Rais Dr Mwinyi yupo objective , na huyu ndio tunamtaka 2025 aje kwanza kufanya reforms ya huu uharibifu unaoendelea bara.

Ni Tanzania only mtu anapewa kazi asiyoiweza, na huku watu wanampamba unaweza na umetimiza dah !
 
Ndugu yangu , Vyeti Feki wengi walotumbuliwa na JPM na wenye Mchongo , wamerudishwa Makazin.

Vyeti Feki ambao hawajarudishwa ni wale hoehoeeee hawana watu.
 
Mkuu hayo mambo hutayaweza nakushauri tu pambana na hali yako. Maana ungekuwa mlamba asali usingelialia hapa. Wacha watu tulambe asali Tanzania ni tajiri au nasema uongo ndugu zangu!!!
 
Back
Top Bottom