GE2025 Rais Samia: Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimejipanga, hutaki ‘Kishindo’ kapige kura urudi nyumbani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Onyo kwa wale wanaotaka kuvuruga Amani siku ya uchaguzi, Oktoba 29, 2025 na kwamba "Vyombo vya Ulinzi na Usalama JTM na vya Zanzibar vimejipanga vyema kulina nchi yetu, sasa hutaki 'Kishindo' kapige Kura rudi nyumbani tulia, tumejipanga vyema..."

Your browser is not able to display this video.
 
Vimejipanga vyema kulinda CCM
 
 

Attachments

  • IMG-20250615-WA0033.jpg
    32.6 KB · Views: 26
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…