sisi wengi hatuna hata hiyo 7bu ya kwenda kupga kuraRais Samia Suluhu Hassan ametoa Onyo kwa wale wanaotaka kuvuruga Amani siku ya uchaguzi, Oktoba 29, 2025 na kwamba "Vyombo vya Ulinzi na Usalama JTM na vya Zanzibar vimejipanga vyema kulina nchi yetu, sasa hutaki 'Kishindo' kapige Kura rudi nyumbani tulia, tumejipanga vyema..."
Nadhani hilo halimpi shida, kwasababu ndivyo linavyofanyika!Vyombo vya usalama vikupigie pia na kura.
She is a buffoon!Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Onyo kwa wale wanaotaka kuvuruga Amani siku ya uchaguzi, Oktoba 29, 2025 na kwamba "Vyombo vya Ulinzi na Usalama JTM na vya Zanzibar vimejipanga vyema kulina nchi yetu, sasa hutaki 'Kishindo' kapige Kura rudi nyumbani tulia, tumejipanga vyema..."
Wa pwani wamewakamata vilivyo wabara, hakuna kupumua.Kishindo?
Hawa watu wa Pwani watatuua Kwa Misemo na Nahau zao 🙌
Anyways, Sisi Wakoma tutakuwa tumelala ndani tukitunza Kura zetu
Salum hajawahi hata kua mwenyekiti wa kitongoji anataka kua Rais 😂😂.Mgombea anaagiza vyombo halafu Salumu anaahidi ubwabwa huku yule mwingine kila baada ya ahadi anakata mauno. Kikubwa pumzi
CHADEMA mmesikia?Kishindo?
Hawa watu wa Pwani watatuua Kwa Misemo na Nahau zao 🙌
Anyways, Sisi Wakoma tutakuwa tumelala ndani tukitunza Kura zetu