GE2025 Rais Samia: Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimejipanga, hutaki ‘Kishindo’ kapige kura urudi nyumbani

GE2025 Rais Samia: Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimejipanga, hutaki ‘Kishindo’ kapige kura urudi nyumbani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kauli zinazoashiria uwoga tupu.

Huyu jambazi wa kizanzibari tayari ameshaona uongozi wake unapitia kipindi kigumu sana. Ndio kupitia kauli zake tu unajua amejawa na wasi wasi mwingi sana.
 
Mgombea anatoa maelekezo ya namna ya kuendeshwa kwa zoezi
Huku nguchiro wakidhani Kuna uchaguzi kweli
 
Uchaguzi gani sasa mana tunachojua hakuna uchaguzi Amani bila Haki ?


No reform No Election
 
Watoto wa maskini wanatumiwa police maana wale wakubwa ndo wanafaidi IGP na DG wa Tiss wengine ni Choka mbaya wanatumiwa tu kuwaumiza watanzania wenzao
d5b6a96650c14f13aaf64cba7264ed15.jpg
 
Back
Top Bottom