Hizo kura zetu tutabaki nazo nyumbaniCHADEMA mmesikia?
Wametushika kila mahali, hadi kwenye nyumba zetu za ibada 🙌Wa pwani wamewakamata vilivyo wabara, hakuna kupumua.
Watoto wa maskini wanatumiwa police maana wale wakubwa ndo wanafaidi IGP na DG wa Tiss wengine ni Choka mbaya wanatumiwa tu kuwaumiza watanzania wenzao