Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa lugha ya kiswahili imekuwa sana kwani hata alipokuwa nchini Urusi waandishi wa habari wa nchi hiyo walikuwa wakimsalimia kwa kiswahili.
Soma Pia:
Waandishi wa Habari waliniamkia kwa kusema, "Shikamoo mama, mama Samia Shikamoo," jambo linaloonesha kuenea kwa lugha hiyo
Soma Pia:
Waandishi wa Habari waliniamkia kwa kusema, "Shikamoo mama, mama Samia Shikamoo," jambo linaloonesha kuenea kwa lugha hiyo