Hawezi kuwahukumu wachimbaji madini wote kwa sababu kuna hao wachache waliofanikiwa. Anatakiwa aliangalie hilo jambo kwa mapana yake. Haimaanishi wachimbaji wachache wa madini wakiishi maisha ya kifahari, basi woye wanakuwa kwenye kundi moja. Hiyo inakuwa ni generalization, ambayo haitakiwi.
Unless otherwise aseme serikali kwa sasa haina fedha za kuwapa ruzuku! Full stop. Na siyo kuwapiga vijembe kisa kuna harusi ya mchimbaji madini imefanyika kwenye helcopter.