Siyo watekaji na wauji haha ha ha haWakuu,
Akizungumza leo kwenye Tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya ZIWA, leo tarehe 21 Juni, 2025, Rais Samia amesema:
"Ombi langu hasa kwa viongozi hasa wa kimila, waganga wale wa kienyeji ombi langu, kipindi hiki wanaoomba kupata nafasi mbalimbali watawatembelea na wanapo watembelea niombe sana tusifanye ramli chonganishi kwa sababu hizo ndizo zinazovunja amani katika uchaguzi
"Kama atakuja na fungu we kula fungu, umemuona atashinda mwambie utashinda umemuona hatashinda, mwambie we nenda tu mambo mazuri, kula pesa yako nenda kalale. Lakini tusifanye ramli chonganishi. Kwamba naona kama utashinda lakini kuna katibu wako huyu wa mkoa naona kama hakupendi pendi hivi. Twende tufanye mambo kwa murua ili watu wote waende vizuri tumalize uchaguzi vizuri"
Sahihi kabisa , Dkt Samia ametoa kauli ya kiuongozi.Wakuu,

Acha unafki Rais kasema ukweli ndio hali halisi, wataenda na hela watatoa kwa hiari yao alichosema ni kuwa usimchonganishe na mtu mwingine sasa dhulma ipi ameihamasisha? Kwamba mganga ukiona hatashinda usimwambie ni nani kikwazo cha yeye kutokushinda, mtuliage mjipe muda uelewe ametoa kauli ktk muktadha upi.Wakati mwingine rais sijui huwa kauli zake anakuwa amekusudia nin.
Kauli yenye huhamasisha dhuluma, hio kuwaambia wale hela zao sio kauli njema kabisa kutoka kwa kiongozi alie na wajibu wa kuleta haki kwa wananchi wake.
We mbwa mamako ndio amekosea, siyo kwa kuzaa kilaza km wwKama kuna mahali Watz tumekosea, basi Mungu atusamehe bure....🤲
Pole broKama kuna mahali Watz tumekosea, basi Mungu atusamehe bure....🤲
Nmekusamehe bure kabisa bro, kisaikolojia mtu anaemwaga mitusi na maneno ya ajabu huwa ni victim wa situation flani.We mbwa mamako ndio amekosea, siyo kwa kuzaa kilaza km ww
Pole kavu bro 😂😂😂Pole bro