johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kalumanzira hatawasaidia lolote. Wakurugenzi Wazembe, wezi, wabadhirifu na wanaotumia madaraka yao vibaya LAZIMA watumbuliwe.Bora angefanyia kazi kimya kimya maana kuanzia hapo wataanza kupishana kwa kalumanzira!
Ninachowapendea msoga gang huwa mnawatangaza wapinzani wakishinda hao sukuma gang na mataga for life ni majitu yenye roho mbaya kinomaSafi sana mheshimiwa! Msoga gang tumejipanga vizuri kuwapokea kijiti ndugu zetu wa sukuma gang na mataga for life.
Siku zote kutesa ni kwa zamu.
Usinisahau kwenye uteuzi huu maana nasikia majina mnayo yote hapo msogaSafi sana mheshimiwa! Msoga gang tumejipanga vizuri kuwapokea kijiti ndugu zetu wa sukuma gang na mataga for life.
Siku zote kutesa ni kwa zamu.
Itavunja umoja wa kitaifa na kuleta ukabilaWakurugenzi wangetokea halmashauri husika
Kwamba kila Halmashauri ina wazawa tu?Itavunja umoja wa kitaifa na kuleta ukabila
Ingependeza kwa sababu mtu anakuwa na uzoefu kuanzia kada za chiniKwamba kila Halmashauri ina wazawa tu?
Maana yangu ni kuwa waajiriwa wa halmashauri husika ndio wawe Wakurugenzi badala ya kuokoteza watu wasiojua kitu