Rais Samia: Wakurugenzi (DEDs) muda wenu wa uangalizi (probation) unaisha 18/02/2022 baada ya hapo tutaamua nani abaki nani aondoke

Rais Samia: Wakurugenzi (DEDs) muda wenu wa uangalizi (probation) unaisha 18/02/2022 baada ya hapo tutaamua nani abaki nani aondoke

Bora angefanyia kazi kimya kimya maana kuanzia hapo wataanza kupishana kwa kalumanzira!

Mswahili hata ukimwambia kuna laki juu ya meza niikute, ataichukua tu na kusema sio mimi

Yaani pamoja na probation time bado wale wanne wakaiba sasa unatengemea nini hapo
Na sasa hivi wanaojua hawaku perform vizuri ndio wanasomba hata kama kuna gari hapo litauzwa [emoji23][emoji23]
 
Rais Samia Hassan Suluhu amesema Wakurugenzi wa halmashauri walikuwa kwenye kipindi cha matazamio ( probation) cha miezi sita ambayo inakamilika 18/02/2022.

Rais Samia amesema baada ya tarehe hiyo Waziri ataandaa performance report ya wakurugenzi wote ili ijulikane wanaobaki na wale watakaotumbuliwa wakaungane na wale wengine wanne waliotumbuliwa juzi.

Chanzo: TBC
Maakunduchi atakao waondoa ni wenye majina ya Ki-english, subirini muone
 
Rais Samia Hassan Suluhu amesema Wakurugenzi wa halmashauri walikuwa kwenye kipindi cha matazamio ( probation) cha miezi sita ambayo inakamilika 18/02/2022.

Rais Samia amesema baada ya tarehe hiyo Waziri ataandaa performance report ya wakurugenzi wote ili ijulikane wanaobaki na wale watakaotumbuliwa wakaungane na wale wengine wanne waliotumbuliwa juzi.

Chanzo: TBC
Wakurugenzi anzeni MAPAMBIO

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Wakitoka huko wanatoka na salary scale za Ma DED wanaenda fichwa kwa MaRAS Wakula scale nono hadi wanastaafu
 
Mtu anatoka nchi yake huko na wanarais wao anakuja kuchkua urais na kutufukuza-fukuza kazi huku kwetu bara!!!

Nilini mbara ataenda kufukuza-fukuza watu kazi kulekwao??

Swala la tamisemi sio la muungano embu tujiongoze wenyewe tena tupewe serikali yetu haraka sana allaaa!!!
 
T
Safi sana mheshimiwa! Msoga gang tumejipanga vizuri kuwapokea kijiti ndugu zetu wa sukuma gang na mataga for life.

Siku zote kutesa ni kwa zamu.
Tunachotaka ni mama kuchukua hatua kama hizo,
Ile tabia ya msoga gang ya kubebelezwa ndo hatutaki,
Mambo ya mdebwedo hayatakiwi hapa tanzania,
Anaye yataka aende msoga huko atuachie tz yetu.
Mama watumbue tu hao tabia msoga maana walianza kuota mizizi.
 
Hii comment inamtuhumu mh rais kuwa ni fisadi. Nimeiripoti kwa mod. Kama haitaondolewa itakuwa ni ushahidi tosha kuwa JF inaliwekea kivuli hili genge linalomchafua rais.
Una akili fupi kupindukia!Kwani Rais ni Mungu au ni Mfalme hadi asitukanwe?Kama wewe pamoja na mke wako mnaamini kuwa mnaongozwa na Mfalme inatosha ila sisi tunaamini kuwa tunaongozwa na Rais na wala siyo Mfalme au Mungu.

Tanzania tuna Rais wala hatuna Mfalme.Kama wewe unaamini kuwa Tanzania ina mfalme amini hivyo wewe pamoja na mke wako na wala siyo kupangia watu wengine kuamini utopolo wako.
 
Back
Top Bottom