Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Bora angefanyia kazi kimya kimya maana kuanzia hapo wataanza kupishana kwa kalumanzira!
Maakunduchi atakao waondoa ni wenye majina ya Ki-english, subirini muoneRais Samia Hassan Suluhu amesema Wakurugenzi wa halmashauri walikuwa kwenye kipindi cha matazamio ( probation) cha miezi sita ambayo inakamilika 18/02/2022.
Rais Samia amesema baada ya tarehe hiyo Waziri ataandaa performance report ya wakurugenzi wote ili ijulikane wanaobaki na wale watakaotumbuliwa wakaungane na wale wengine wanne waliotumbuliwa juzi.
Chanzo: TBC
Wakurugenzi anzeni MAPAMBIORais Samia Hassan Suluhu amesema Wakurugenzi wa halmashauri walikuwa kwenye kipindi cha matazamio ( probation) cha miezi sita ambayo inakamilika 18/02/2022.
Rais Samia amesema baada ya tarehe hiyo Waziri ataandaa performance report ya wakurugenzi wote ili ijulikane wanaobaki na wale watakaotumbuliwa wakaungane na wale wengine wanne waliotumbuliwa juzi.
Chanzo: TBC
Na sisi tupate kuku na nazi za bureBora angefanyia kazi kimya kimya maana kuanzia hapo wataanza kupishana kwa kalumanzira!
Ili aweke wachamba wima...Maakunduchi atakao waondoa ni wenye majina ya Ki-english, subirini muone
Tokea enzi za magu DED alikua anatokea ccmWakurugenzi wangetokea halmashauri husika
Basi zitangazwe wenye sifa na vigezo wapangiwe kama TANRODSItavunja umoja wa kitaifa na kuleta ukabila
Tunachotaka ni mama kuchukua hatua kama hizo,Safi sana mheshimiwa! Msoga gang tumejipanga vizuri kuwapokea kijiti ndugu zetu wa sukuma gang na mataga for life.
Siku zote kutesa ni kwa zamu.
Hii comment inamtuhumu mh rais kuwa ni fisadi. Nimeiripoti kwa mod. Kama haitaondolewa itakuwa ni ushahidi tosha kuwa JF inaliwekea kivuli hili genge linalomchafua rais.Yeye kama fisadi mkuu anaondoka lini?πππ
View attachment 2110180
Yeye anafanya kazi nzuri. Tutampa mitano halafu mitano tena!Na yeye probation yake inaisha 2025, asisahau hilo!
Una akili fupi kupindukia!Kwani Rais ni Mungu au ni Mfalme hadi asitukanwe?Kama wewe pamoja na mke wako mnaamini kuwa mnaongozwa na Mfalme inatosha ila sisi tunaamini kuwa tunaongozwa na Rais na wala siyo Mfalme au Mungu.Hii comment inamtuhumu mh rais kuwa ni fisadi. Nimeiripoti kwa mod. Kama haitaondolewa itakuwa ni ushahidi tosha kuwa JF inaliwekea kivuli hili genge linalomchafua rais.
Na foleni kwa wachawi.basi wiki hii yote tutarajie matamko ya kujipendekeza