Ni ngumu ndugu yangu, Rais wamemdanganya. Kwa kawaida kila shirika la umma linamakusanyo, kilichofanyika ni kuchukua sehemu za hayo makusanyo na kupeleka gawio serikalini. Na hiyo iko accounted mpaka kwenye vitabu vya hesabu za serikali.Mkuu kwa uelewa wangu ni kwamba ma meneja walikopa wao binafsi ama sikuelewa mimi!
Uzingatie kuwa jukumu la maamuzi ya nchi hii halipo kwa marehemu lipo kwa walio hai hivyo Kama kuna makosa yatakosolewa na kurekebishwa bila kujali hisia za wanaowakumbuka marehemu.Ujumbe umeelewa. Kumsakama Marehemu haisaidii kuipeleka mbele nchi wala kuwafurahisha waja
Uzingatie kuwa jukumu la maamuzi ya nchi hii halipo kwa marehemu lipo kwa walio hai hivyo Kama kuna makosa yatakosolewa na kurekebishwa bila kujali hisia za wanaowakumbuka marehemu.
Nakazia pale kwenye marehemu hawana madhara wala maamuzi ya hii nchi.Ujumbe umeelewa. Kumsakama Marehemu haisaidii kuipeleka mbele nchi wala kuwafurahisha waja
Atcl ilitoa dividend hata ilipokuwa inaingia hasara ya bilioni tisa kwa mwezi, CAG aliweka hilo wazi kwenye report yake!Records ziko wapi? Unaweza tu kukopa hela Central bank bila ya records zozote mahali na jinsi ya kuzirudisha? Na kama ni kweli kwamba walikuwa wanakopa ktk central Bank ili kumfurahisha Magufuli, je raisi Magufuli angeweza kutoligundua/kuambiwa hilo? I mean, huyo mtu sijui tu kwa kweli kwa maana dah!
Nakazia pale kwenye marehemu hawana madhara wala maamuzi ya hii nchi.
Amesema rubbish! Rais anapofahamu hayafanyi vizuri kwa nini hachukui hatua? Au bado anaondoa kundi la JPM. Tutarebua kwa miaka mingi kabla ya kujua kuongoza nchi.Rais Samia amesema Mashirika ya Umma hayafanyi vizuri na kuna baadhi ya Viongozi wao walikuwa wanakopa fedha Benki ilu walipe Gawio serikalini kulinda vibarua vyao
Rais Samia amesema Mashirika ya Umma yote yataangaliwa upya
Source ITV
======
“Najua miaka iliyopita kuna kipindi maalumu ilikuwa ni lazima mashirika yatoe dividends (gawio) na kwa sababu yalikuwa haya- perform wengi wenu mlikuwa mnaingia mabenki huko mkakopa, mkaingia wapi huko... mkakopa ilimradi unalinda kibarua chako,”
“Unapeleka check tarehe fulani... check hii hapa shirika limechangia lakini kumbe uzalishaji ni zero, kwa hiyo muende mkasimamie mashirika yazalishe,”
View attachment 2311657
ATCL> Nyingine ni ipi? au unatafutwa wastani kwa kutumia shirika moja tu! Kama rais wetu ni elimu ya hapa na pale, Watanzania tusijiweke kundi hilo.Atcl ilitoa dividend hata ilipokuwa inaingia hasara ya bilioni tisa kwa mwezi, CAG aliweka hilo wazi kwenye report yake!
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ukiwa mkubwa hutoshangaaSiyo swala la kuabudu, ni logic ya kawaida tu, Central Bank hawafanyi kazi kienyeji kama ni kweli walikopa fedha kama hata hilo linawezekana sijui ni lazima raisi angejua!
Kwa hiyo unasema samia anadanganya?Hapa nahisi ni chai
Mikopo yote ina records BOT. Sasa gavana wa BOT asimwambie Magufuli kweli?
Pambafu ...zako posho ndio stahiki zuzu sana weweHuna akili.
Mkataba unataja mshahara wangu na stahiki zingine.
Posho na mshahara vyote ni haki yangu.
Heri yule mwehu kafa, alituharibia nchi yetu .
Kwa hiyo samia anadanganya?Na wewe unaamini huu uongo ? ,CEO wa shirika la umma akope zaidi ya 1 billion aliweka Nini huko Bank Kama dhamana, na Jiwe asijue ? Na Kama kweli walikopa while shirika linapata loss pesa ya kulipa ilitoka wapi
Je kama alijua lakini akakaa kimya ili apate sifa za kisiasa?Siyo swala la kuabudu, ni logic ya kawaida tu, Central Bank hawafanyi kazi kienyeji kama ni kweli walikopa fedha kama hata hilo linawezekana sijui ni lazima raisi angejua!
What if magufuli alitoa amri wakope ili wapate rejesho?Na gavana kama angeweka siri,usalama wangesanua dili,huyu mama atakua anapiga siasa.
Tokea magufuli alaiposema miradi mikubwa inajengwa kwa fesha za ndani nikajua ni msanii.. wenda samia yuko sahihi maana magu alikua msaniiHapa mama kazingua sana, huu ni uongo wa mchana kweupe.
Je kama alikua anataka kuandika magu mdio akamfukuza ili isiwe aibu kwenye utawala wake?Halafu zinalipwaje? Report za CAG hazikuona hilo? Tena Assad!!
Hao wakuu wa mashirika walioliingiza taifa hasara kwa mikopo ya kificho ili kulinda maslahi yao binafsi washitakiwe kwa wahujumu uchumi. Tena wafunguliwe kesi ya kuidanganya Taasisi ya urais.Records ziko wapi? Unaweza tu kukopa hela Central bank bila ya records zozote mahali na jinsi ya kuzirudisha? Na kama ni kweli kwamba walikuwa wanakopa ktk central Bank ili kumfurahisha Magufuli, je raisi Magufuli angeweza kutoligundua/kuambiwa hilo? I mean, huyo mtu sijui tu kwa kweli kwa maana dah!
Kwa magu kila kitu kiliwezekana hasa usanii. Kama alituambia miradi inajengwa kwa fedha za ndani unadhani hili linashindikana?Wakikopa pesa ya kulipa walikuwa wanatoa wapi?
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Hii hajasingiziwa ni ukweli tupu. Mwendazake alikua mtu muongo.Asiyekuwepo atasingiziwa kila kinachoonekana ni ahueni kwa waliopo.