Rais Samia: Walipa Kodi Wanakubali Faini za Makosa Lakini Si Kulipa Kodi Kwani "Ni jambo gumu na sirahisi kukubalika"

Rais Samia: Walipa Kodi Wanakubali Faini za Makosa Lakini Si Kulipa Kodi Kwani "Ni jambo gumu na sirahisi kukubalika"

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi leo tarehe 04 Oktoba 2024, jijini Dar es Salaam, amesema kuwa malalamiko ya walipa kodi yanatokana na ukweli kwamba kodi ni jambo gumu na mara nyingi si rahisi kukubalika. Amesema kuwa ni kawaida kwa mtu kuwa tayari kulipa faini kwa kosa, lakini kutokuwa tayari kulipa kodi, ambayo ni muhimu kwa maendeleo ya taifa.
Pia, Soma:

Rais Samia: Uchumi wetu unakua lakini tunachokusanya, kingi kinaingia mifukoni kwa Watu
Rais Samia: Kodi ndio Damu ya Serikali
 
Yeye Samia anakubali kuteka na kuuwa watu lkn si kutunga katiba mpya, kwa kuwa siyo rahisi.
 
Ulipe kodi ambayo wanakula wahuni wachache na kujilimbikizia mali ....silipi walahi
 
Back
Top Bottom