Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Hahhaa wanateseka sana.Wanajilisha upepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhaa wanateseka sana.Wanajilisha upepo
marehemu komba aliwai kuimbaNaona leo Samia amefungua rasmi kampeni za uchaguzi mkuu wa 2025.
Kumbe amechachawa?marehemu komba aliwai kuimba
"hii ikulu hii, hii ikulu hii wengine wanapagawa,
wengine wanachachawa, "
ikulu ni tamu sana Jiwe alikua anataka ang'ang'aniemo mileleKumbe amechachawa?
Msitutenge wajameni,yule jamaa Wala hakua msukuma.Hata wasukuma wenyewe wanajiulizaga msukuma wa wapi ana roho ya hivi.
[emoji28][emoji28][emoji28] hivi una nini lakiniNenda mwambie wewe ni Lumumba lia lia anaweza kukutunuku shingo.
😁😁😁 yule jamaa amewachafua Sana wasukuma mkuu,lkn wenyewe hawanaga noma na mtu mkuu.Mbona mnamkana mwenzenu mapema kiasi hicho jomoni?! [emoji3][emoji3][emoji3]
hakuna sehemu aliyotangaza nia labda kama hukumsikia hotuba yakeKavunja katiba ya CCM.
Katangaza nia mapema tu aitwe kwenye kamati ya maadili ya Chama, apewe Onyo kama alivyopewa Membe.
Kazi iendelee.
Mwingine akitangaza nia wa CCM 2025 urais chama kitamfuta
uko sahihi✔Mungu akisaidia
#TwendeNaMama 2025
Anajisumbua na kujidanganya mzanzibar kuwa raisi wa bara ni ajali tu pia tuna mashaka na kifo cha magufuli sanaRais Samia Suluhu Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani Mkoani Dar amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na matakwa ya katiba. Amesema walichofanikiwa wanawake ni kusukuma mpaka kumpata makamu wa Rais mwanamke...
Yule M1zee ni hodari wa kusuka mipango.Hivi gazeti la Uhuru walitoa wapi zile NONDO kuwa kasema hana mpango wa kuwania urais 2025?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
Si tulikubaliana tujenge uchumi kwanza, au tumesha ujenga?Rais Samia Suluhu Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani Mkoani Dar amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na matakwa ya katiba. Amesema walichofanikiwa wanawake ni kusukuma mpaka kumpata makamu wa Rais mwanamke...
Wapinge wasipinge imekula kwao,ni wakati wa kutafuta Kazi za kufanyaGenge linalopinga SSH kuwa Rais kwa muhula wa pili, mgetafuta tu kazi za kufanya
Hii nchi Rais tena wa CCM akiishashika muhula wa kwanza ndo imetoka hvyo hadi amalize vipindi vyote viwili labda afe...
Kipimo ni mwitikio wa chanjo ya kovidi makada wa ccm wapo mamilioni wamemgomea chanjo sasa hivi kwa siku nchi nzima wana chanja watu 100 tuAmeshaanza kupandisha mabega anaamini kuwa ameshalisambaratisha Sukuma Gang.