Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

Kavunja katiba ya CCM.
Katangaza nia mapema tu aitwe kwenye kamati ya maadili ya Chama, apewe Onyo kama alivyopewa Membe.
Kazi iendelee.
Mwingine akitangaza nia wa CCM 2025 urais chama kitamfuta
 
Kavunja katiba ya CCM.
Katangaza nia mapema tu aitwe kwenye kamati ya maadili ya Chama, apewe Onyo kama alivyopewa Membe.
Kazi iendelee.
Mwingine akitangaza nia wa CCM 2025 urais chama kitamfuta
hakuna sehemu aliyotangaza nia labda kama hukumsikia hotuba yake
 
Kumbe minong'ono mingi tunayoisikia huku mtaani ina ukweli!!

Nimejikuta nakumbuka kile kitabu maarufu miaka ile "Uongozi wetu na hatma ya Tanzania" by Mwl Nyerere
 
Anajisumbua na kujidanganya mzanzibar kuwa raisi wa bara ni ajali tu pia tuna mashaka na kifo cha magufuli sana
 
Kitu kitakacho mpa tabu huyu mama ni magufuli legacy hii itapata nguvu kipinvi cha mwaka wa mwisho wa utawala wake
 
Hivi gazeti la Uhuru walitoa wapi zile NONDO kuwa kasema hana mpango wa kuwania urais 2025?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
Yule M1zee ni hodari wa kusuka mipango.
 
Si tulikubaliana tujenge uchumi kwanza, au tumesha ujenga?
 
Watu wako wanakudanganya sana. Huku mtaani si wanawake si wanaume, kwa pamoja wanatamani ungefanyika uchaguzi mkuu hata leo hii.

Hii sasa balaa. Vitu vinapanda bei kila inayoitwa leo, badala ya kutafuta namna ya kupunguza hali ngumu ya kiuchumi inayowakumba wananchi, sisi tunawaza urais wa 2025.
 
Genge linalopinga SSH kuwa Rais kwa muhula wa pili, mgetafuta tu kazi za kufanya

Hii nchi Rais tena wa CCM akiishashika muhula wa kwanza ndo imetoka hvyo hadi amalize vipindi vyote viwili labda afe...
Wapinge wasipinge imekula kwao,ni wakati wa kutafuta Kazi za kufanya
 
Ameshaanza kupandisha mabega anaamini kuwa ameshalisambaratisha Sukuma Gang.
Kipimo ni mwitikio wa chanjo ya kovidi makada wa ccm wapo mamilioni wamemgomea chanjo sasa hivi kwa siku nchi nzima wana chanja watu 100 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…