chibuga mugeta
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 1,176
- 1,054
Halijawahi tokea ktk nchi hii Raisi kujipigia debe mapema hivi as if kampeni zimeanza,huyu muda wake unahesabika,anajilisha tu upepo anapima maji ya bahari kwa njiti ya kiberitiGenge linalopinga SSH kuwa Rais kwa muhula wa pili, mgetafuta tu kazi za kufanya
Hii nchi Rais tena wa CCM akiishashika muhula wa kwanza ndo imetoka hvyo hadi amalize vipindi vyote viwili labda afe...
Mnakosea kushabikia hii kitu. Na inaonesha mnafurahia kifo cha DKT JPM. Sawa, subirini 2025 kauli zenu zinawagharimu.Mungu asaidie mama apite inshaalah. Wacopenda wavimbe adi wapasuke.
Uchuro huo!Sisi kama watanzania huru Tusio na Vyama na wale wa vyama mbalimbali, tunaandaa mpango mkakati wa kuitisha maandamano ya amani kushinikiza Rais Samia agombee tena Urais 2025, hata kama yeye hataki sisi tutamlazimisha...
amekanusha maneno yaliyoandikwa na gazeti la uhuru, hajajipigia debeHalijawahi tokea ktk nchi hii Raisi kujipigia debe mapema hivi as if kampeni zimeanza,huyu muda wake unahesabika,anajilisha tu upepo anapima maji ya bahari kwa njiti ya kiberiti
Sisi kama watanzania huru Tusio na Vyama na wale wa vyama mbalimbali, tunaandaa mpango mkakati wa kuitisha maandamano ya amani kushinikiza Rais Samia agombee tena Urais 2025, hata kama yeye hataki sisi tutamlazimisha...
Kwanini kuwe na fair competition kama kwenye general election hakuwi na fair competition, kwenye chama atapita kwa mwendo wa kata funua kama wanavyofanya kwenye uchaguzi mkuu.Kukiwa na fair competition kwenye chama hawezi kuingia hata kwenye 5 bora.
Mnakosea kushabikia hii kitu. Na inaonesha mnafurahia kifo cha DKT JPM. Sawa, subirini 2025 kauli zenu zinawagharimu.
Tulia, SSM ina wenyewe weweHeri ukae kimya mzehe. Una statistics za kuonyesha mama hapendwi??? Au vicomment vya mitandaoni vinawaongopea ππππ amini ucamini mama anapita. Mwenyezi Mungu ajaarie inshaalah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa nmeamini ile habari ililetwa kwa kusudi maalumu.Gazeti la UHURU lilichapa kwenye mshono
Haya bwana mkuu, tuombe Mungu hiyo 2025 tuendelee kuwepo Ili tushuhudie.Tanzania ina population ya watu zaidi ya m60. Ukisema ufuatilie maoni ya watu mitandaoni wanaomchukia hawafiki hata 1000 wanaomsema vibaya, sawa na idadi ya mtaa/kitongoji.
Samahani kukukwaza kuusu gwajima n.k.
Tumwombee afya njema na umri mrefu maana wahafidhina hawajapendezwa na nia yake ya kuwania kiti hivyo wanaweza kufanya kila hila kumdhuru au kumkwamisha ili asifike 2025Inshaalah apite mamaetu 2nampenda sana.
MABADILIKO YATATOKA NDANI YA CCMRais Samia Suluhu Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani Mkoani Dar amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na matakwa ya katiba. Amesema walichofanikiwa wanawake ni kusukuma mpaka kumpata makamu wa Rais mwanamke.
"Kufika hapa, kama isingekuwa kudra ya Mungu ingekuwa ngumu sana, sasa ndugu zangu Rais mwanamke tutamuweka 2025. Mwaka 2025 tukifanya vitu vyetu vizuri, tukishikamana, tukimuweka Rais wetu, tutakutana hapa kwa furaha kubwa sana
Wameanza kutuchokoza kuandika kwenye vigazeti kwamba Samia hatasimama, nani kawaambia? Wanawake oyee. Fadhila za mwenyezi Mungu zikija mikononi mwako usiziachie.
Wanawake wamefanya kazi kubwa kuleta uhuru wa nchi hii, Wanawake tumefanya kazi kubwa kujenga siasa za nchi hii, tumebeba sana wanaume katika siasa za nchi hii, leo Mungu ametupa baraka mikononi, tukiiachia Mungu atatulaani.
Alisema Rais Samia Suluhu
Mengineyo, Rais Samia amesema ataendeleza mema yote katika awamu zote na watajitahidi kuongeza mema mengine.
Kuhusu usawa wa jinsia amesema hawajafika lakini wanawake wataendelea kuongezeka kwani asipofanya yeye hakuna ambae atafanya.