THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Akiwa huyu at least....2025 Rais ni Prof. Palamagamba Aidan John Kabudi.
Nikweli ila ujue mambo yameingiliana na magufuli legacy ambayo wanaccm wanajua inanguvu sana mioyoni mwa watz hivyo mwaka mmoja kabla ya uchaguzi moto utawaka ccmSidhani nasikia kipindi cha uchaguzi huwa wanakuwa kitu kimoja.
Ma-gang yote huyeyuka
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Tumwombee afya njema na umri mrefu maana wahafidhina hawajapendezwa na nia yake ya kuwania kiti hivyo wanaweza kufanya kila hila kumdhuru au kumkwamisha ili asifike 2025
Kwanza hachaguliwi Mzanzibari na pili hachaguliwi mwanamke
Duh!Nikweli ila ujue mambo yameingiliana na magufuli legacy ambayo wanaccm wanajua inanguvu sana mioyoni mwa watz hivyo mwaka mmoja kabla ya uchaguzi moto utawaka ccm
Akagombee kwao Zanzibar.Acha ubaguzi kijana. Mtake muctake ndie rais we2, na 2025 atashinda asubui mapema.
Watanzania wa wapi labda majini yasiyoonekanaJipe moyo ila kwa taarifa yako mama atashinda kwa kishindo kwa sababu watanzania tunamwelewa
Hapana ndugu katiba haisemi hivyo. Katiba inasema kama makamu wa Rais akiukwaa urais miaka si chini ya mitatu kabla ya uchaguzi, basi itahesabika ametumikia kipindi kimoja na kwa hivyo atakuwa ana haki ya kugombea kwa kipindi kimoja pekee ili akamilishe kipindi cha pili. Kwa hivyo kwa mjibu wa katiba Samia kabakisha kipindi kimoja tu kama atataka kugombea.Katiba ipi na kifungu kipi?!!..Yeye alikua Makumu wa Raisi/amekuja kuwa Raisi Kwa Mujibu wa Katiba!!..2025 anagombea rasmi!!.. anaweza kuongoza for 14 Years kama akipenda na chama kikiona inapendeza!!
Mkuu hata bila utafiti ni vyema ukajua kwamba ubaguzi bado upo sana. Ni ngumu sana kwa mwanamama tena Mzanzibar kupata kura za kutosha kwa maeneo mengi tu huku bara. Na tuwe wakweli pia kwamba ni ngumu zaidi kwa Mzanzibari yoyote kupata kura za kutosha bara akipambanishwa na mbara yeyote hata kama sifa za huyo mbara ziko chini ya huyo mbara. Ili SHH awe Rais wa kuchaguliwa wa JMT lazima kufanyike kitu ambacho hakijawahi kuwepo.Wabongo kwa kujifanya wajuaji wa mambo hatujambo. Eti hawatamchagua dsm, mbeya na arusha, sijui huu utafiti wako uchwara umeufanya lini ukakupa haya majibu?
Tangu lini CCM kukawa na fair play? Watafanya kama walivyofanya 2020. Kwa kuwa Rais anamalizia mua wake, inachapishwa fomu moja tu. Basi!Hata ubunge tu hawezi pata sembuse uraisi
Akagombee kwao Zanzibar.
Mama yupo sana tu, Raisi mwengine mpaka 2035 penye uhai na uzima.
Hii mi 4 ya kwanza si yake kairithi kwa JPM. 2025 ndio anaanza mi 10 yake hadi 2035 kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wadanganyika na wazenj.
Wana mshakanywa na Mama mishono muitulize isije fumuliwa.
Akina Mama hoyeeeeeeeeeeeee.
Utateseka sana na bado.Watanzania wa wapi labda majini yasiyoonekana
Wishful thinking ππ€ͺ2025 Rais ni Prof. Palamagamba Aidan John Kabudi.