Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

Wamefanya uharamia hata huko nje kwenye ofisi zetu badala ya kusherehekea uhuru wa.tanganyika.inashehekewa siku ya muungano, watanganyika tuamke tuikatae ccm tuirejeshe nchi yetu, vinginevyo tuwe na nchi moja Tanzania .
 
Duuh
 
Tanganyika iliuliwa kikatili naililia naamini ck moja itarudi dikiteta aliye iua kikatili Sana mpaka akatuletea mazindiko ya mwenge , alipoona Tu watu washaanza kujanjaruka huyooo akatoroka back Tanganyika
 
Du:!! Du!!Sheria mama ,mgombea urais lazima hatoke bara.Makamu lazima atoke Zanzibar. Na kwamba Rais akifariki ,makamu anakuwa Rais kwa muda uliobaki.Hawezi kugombea tena.Kwa kuwa itafanya Rais awe Mzanzibar ,na kule Zanzibar pia awe mzanzibar.Naona ,ya Rais akifariki imetekelezwa.Hii ya makamu aliyechukua urais.Kutogombea either inafichwa ,au wanasiasa hawaelewi kabisa.Maana naona hata wakina Lissu wapo kimya.Asante kwa kutufunua.
 
Zanzibar walikuwa wanalalamika kwamba Tanganyika imewafanya koloni lake, ghafla mambo yamebadilika Tanganyika ndo imekuwa koloni la zanzibar na wazenj wamepiga kimya kabisa kana kwamba kero za muungano zimeisha....
 
Wamefanya uharamia hata huko nje kwenye ofisi zetu badala ya kusherehekea uhuru wa.tanganyika.inashehekewa siku ya muungano, watanganyika tuamke tuikatae ccm tuirejeshe nchi yetu, vinginevyo tuwe na nchi moja Tanzania .
Kwa kweli ujobile (umeongea)
 
Hitra ndio nani?!!!

Ikiwa tu hujui kuandika majina ya watu maarufu utaweza kuwa na ubongo makini wa kutoa hoja kwa wenye akili?!!!!

Tanganyika ilishakufa....

Mwenye kuitaka irudi inabidi naye afe tu......

#Siempre Serikali Mbili za JMT
Kujua kuandika majina ya watu wakati kichwani kwako ni kihiyo itakusaidia nini wew libashite? Sisi tunazingumzia hoja nzito za nchi wew Kibwetele unaleta kihoja Cha kujua kuandika majina ya watu. Acha kufikir kwa kutumia Makalio.
 
Kumbe kweli?? ikawaje Samia akapenya?
 
Tangu lini ndugu na sie Watanganyika tupo tu hai?
Akina nani ni watanganyika?!!

Acha "uzebe" wewe....

Sisi ni WATANZANIA TU... kutoka huku bara

Dola lililobaki ni moja tu la wenzetu Zanzibar ....

Dola la Tanganyika ni "marehemu"....halipo....liliuawa kwa faida pana ya vizazi......

#Siempre Serikali Mbili Za JMT
 
Naunga mkono hoja. Naipenda nchi yangu Jamhuri ya Tanganyika
 
Mosi, Mungu akijalia Rais Samia atagombea. CCM ni Chama kikubwa chenye kuheshimu taratibu zake na wala hakuna wa kumpinga 2025.

Pili, Zanzibar ni sehemu ya Tanzania. Haitambuliki popote kwa mujibu wa Sheria za Kimataifa kama ni Taifa huru. Kwa hiyo, usijipe presha ndugu hilo unalosema haliwezi kutokea.

Tatu, Muungano wetu ni wa kipekee. Mwalimu na Mzee Karume waliujenga ktk muundo huo. Suala la muundo wa Dola ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekwisha. Hatuwezi kuunda dola mpya iwe ya Serikali moja, tatu, nne au saba.

Marekani ilikwishaundwa na Muungano wa states. Hakuna mwendawazimu anajadili muundo au eti achomoe jimbo. Tanzania pia ukithubutu kuchezea Muungano ambao ni Tunu ya Taifa utakalia umeme bila kuuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…