Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

We mpuuzi na msukule wa dikteta mwendazake

Samia anagombea urais 2025 na hamna kenge wowote wakumzuia,

Kwanza anawajali wananchi, na anakubarika na jeshi la Ulinzi kwaiyo hakuna mbuni wakumzuia Samia asigombee, kwaiyo take it from unknown source

Hakuna mbuzi wakumzuia Samia asigombee mwaka 2025,Samia yupo Hadi 2035
Hata Albashiri na Hitra walikuwa wanakubalika na jeshi wew Kibwetele
 
Raia wa mwisho kuwa Rais wa Tanganyika kutoka Zanzibar alikuwa ndugu Ally Hassan Mwinyi. Baada ya hapo CCM wakaweka kizuizi kwa raia yeyote kutoka Zanzibar asigombee urais na badala yake Zanzibar ikatakiwa iwe inatoa mgombea wa Makamu wa Rais tuu kwa kila Chama Cha siasa hapa nchini.

Imefanyika hivyo Mkapa akiwa mgombea, Kikwete akiwa Mgombea na hata Magufuli akiwa Mgombea Zanzibar kazi yao ni kutoa wagombea wenza tuu. Kwa maana nyingine ni kuwa ili Mzanzibari awe Rais wa Tanganyika itabidi asubirie kudra za mwenyezi Mungu Rais wa Tanganyika akifa.

Ni kwa nini CCM hawataki Rais wa Tanganyika atoke Zanzibar wakati KATIBA inasema sifa ya mtu kuwa Rais ni awe raia wa kuzaliwa wa Tanzania? Hapo ndipo wenye Akili tunapo eleza utata wa Muungano huu feki japo CCM haitaki kueleza wazi kuwa raia wa Zanzibar anakosa sifa ya kuwa Rais wa Tanganyika ila wakaficha maradhi hayo kwa muda mrefu. Waswahili wana msemo kuwa mficha maradhi kifo kitamuumbua na kifo kimewambua kweriii kweriii.

Wiki iliyopita niliandika mada ngumu hapa kuhusu WAZANZIBARI. Nikasema kwa maoni yangu naona wanzanzibari sio Watanzania mada ikafutwa wenye Akili wakanielewa kwa vigezo hivi nilivyo eleza.

Nikaeleza kuwa Zanzibar ilikubali kuungana na Tanganyika ili waunde taifa moja la Tanzania. Lakini Zanzibar ikagoma kuua taifa lao huku Tanganyika ikafa na kuunda Tanzania taifa jipya. Hivyo Tanzania imezaliwa baada kifo Cha kikatili Cha Tanganyika na sio Muungano wa nchi mbili.

Lakini pia nikaeleza kuwa Zanzibar ni nchi huru, yenye mipaka yake, Serikali, Bunge, Mahakama na pia KATIBA na wimbo wa taifa. Zanzibar sio sehemu ya Tanzania Kama CCM wanavyotaka kutuhadaa kutuona wananchi ni mazuzu tusio jitambua. Sehemu yeyote iliyopo Tanzania haiwezi ikawa na Rais, Serikali yake,Bunge Mahakama, KATIBA, wimbo wa taifa lake na Bendera ya taifa.

Ni mwenda wazimu tuu anaweza kuamini kuwa Zanzibar ni sehemu ya Tanzania. Ikiwa Bukoba, Iringa, Mbeya, Tanga hizi ni sehemu za Tanzania na hazina Rais wao, Serikari, Bunge, Mahakama, Bendera ya taifa wala wimbo wa taifa basi utakuwa ni ubashite wa hali ya juu kusema Zanzibar ni sehemu ya Tanzania.Hakuna taifa hapa Duniani ni sehemu ya taifa jingine. Sijui mwanipata uzuri ninyi wadanganyika?

Ukweli mchungu ni kuwa WAZANZIBARI sio Watanzania wanalazimishwa tuu kwa malengo mficho. Msema kweli mpenzi wa Mungu na ni lazima tuambiazane ukweriiii.Huu sio wakati wakupakana mafuta kwa mgongo wa chupa. Samia aambiwe ukweli hana sifa za kuwa Rais wa Jamhuri ya Tanganyika. Akagombee kwao Zanzibar Kama anataka urais.

CCM wanayo kazi moja tuu Mbele kuifanya Zanzibar ikawa ni Jimbo au Mkoa wa Tanzania au kuirudisha Tanganyika zikaundwa Serikali tatu. Hatuwezi kuacha kulidai taifa letu la Tanganyika kwa sababu zozote zisizo na mashiko. Tutaendelea kulidai taifa letu la Tanganyika tena kwa wivu mkubwa.

Back Tanganyika.
Unaitengeneza hoja ili ufurahishe tu nafsi yako......

Ingekuwa Zanzibar si sehemu ya Tanzania basi muda huu hatuna Rais wa JMT mpaka hapo tutakapompata kutoka huku bara....

UPUMBAVU KWELI NI UGONJWA USIO NA TIBA

Siempre JMT
 
Hata Hitra alikuwa na washirika lakini mwisho wa siku wakafurushwa. Hakuna anaye wazuia kuwa naye mama yenu kwenu Omani au popote ila huku Tanganyika hapana hatutawaliwi na taifa jingine kamwe.
Hitra ndio nani?!!!

Ikiwa tu hujui kuandika majina ya watu maarufu utaweza kuwa na ubongo makini wa kutoa hoja kwa wenye akili?!!!!

Tanganyika ilishakufa....

Mwenye kuitaka irudi inabidi naye afe tu......

#Siempre Serikali Mbili za JMT
 
wakat mabeberu yanaunganisha nguvu zao kwakuungana kimataifa na kuunda jumuiya zao za kimataifa na zenye kuingiza kila nchi zao ktk jumuiya hizo, huku kwetu bado tuko bize kutengana ili mabeberu na watesi wetu wazidi kutushughulikia, hii akili yakipuuzi kabisa.

Zanzibar nikama mateka wa Tanzania Bara, maana imekuwa kama inacontroliwa na bara kwa kiasi kikubwa yaani hata wagombea urais wa huko utokana na mawazo ama mapendeleo ya watu wa bara, sioni faid ya muungano kama mpka leo kuna upuuzi wa kitengano na tofauti nyingi ktk taifa.

USA mpka kuwa superior country imejumuisha muungano wa majimbo makubwa ya north america ambayo kimsingi ni sawa na nchi kubwa, sasa majimbo hayo ukifuatilia utaona yamekuwa ni sehem ya nchi na hakuna tofaut zozote,

kuna china,india, russia, hawa wote wana include majimbo makubwa ambayo waliyamega na kuyaingiza ktk nchi zao na yanamilikiwa na nchi zao bila tofaut zozote,

sasa ukija uku bara lenye watu wasiojielewa hawa wamekuwa waking'ang'ania utengano kwa sababu zakitoto eti Zanzibar ikijitoa kwenye muungano watapata mikopo na misaada kutoka nchi za kiarabu,
ona hii akili za watu wapumbavu wasiojielewa, yaan Nchi yenye rasilimali nyingi itegemee misaada toka nchi za huko far eastern ambazo zimejaa majangwa na uchache wa rasilimali nje ya mafuta wanayoringia, sasa hizo kodi za raia wao walioteseka kuzijenga nchi zao, ndizo zije kukusaidia wew mwanaizaya na mpumbavu tokea kisiwani KWA UPENDO GANI waliokuwa nao? yaani mtesi wa babu zako aje akusaidie kiwepesi namna hiyo?

haya mambo ya utengano wa taifa la Tz yanachochewa na washenz wachache wanaotaka maslahi kutoka huko kwa wavaa makubanzi na wauza mafuta ili icho kisiwa kiwe mateka wake na ngome yake ya kupitisha mambo wanayoyataka kama vile USA anavyomiliki baazi ya sehem , dunian na kuzifanya makambi ya majeshi yake, ndvyo hivyo hata adui zake wanafanya ivyo kutaka baazi ya sehem ziwe mateka zimilikiwe kwa manufaa yao na si manufaa ya wanaoishi maeneo hayo.

Afrika kuja kuendelea ni ngumu sana kama bado mpka leo watu wanawaza utengano na kusujudia mataifa ya nje..

Zanzibar ikija kujitoka ktk muungano, ndyo hiyo siku ambayo wananchi waishio huko watakapokuwa wameuza uhuru wao kwa watu wa nje ,

na ndpo amani ya east afrika itaanza kupotea kwa kuwa maadui wa pande mbili watapata mpenyo wa kupigana ktk ardhi hiyo uku kila mmoja akitaka mwenzie aondoke, yaan mataifa ya magharibi hayawez kubali icho kisiwa kiwe ngome ya wale wavaa makubanzi maana watajijenga kinguvu na kusambaza ushawishi maeneo haya,

na hao wavaa makubanzi hawawez kuruhus eneo hilo liwe mateka, maana wanajua nia mali ya mababu zao waliokuja kipindi cha utumwa na hawatak liendelee kushikiliwa na bara maana nao wana maono nalo.

wazanzibar wa chini yaan masikin hawawez elewa umuhimu wa muungano.

na hawa ndye watadhurika siku nchi ikijitenga, na hawa hawa masikini wanaoshadadia mvunjiko wa muungano hawaelewi nini kiko nyuma ya pazia kwa utengano huo, zaid wao yanawaza mserereko yanazani hao waarabu wana roho safi kama mitume wao wanaowaamini kwenye vitabu vya dini, hao wanaowapigia magoti ni wale wale watesi wa babu zao, hakuna utofauti.

Watanzania bara wanaoshadadia mvunjiko wa muungano hawana akili na tuseme kuwa ni wasaliti maana wanakuwa wanawadhihaki viongiz wetu waliopigania uhuru wa nchi hiz na kuzifikisha leo hii,

wakati ule viongoz wanapambania taifa, ninyi babu zenu walikuwa bize maporini kukimbizana nusu uchi na mang'ombe bila faida yoyote, leo hii mitoto&mijukuu ya mababu waliokuwa hawana mchango kwa taifa ndyo wamekuwa wakisema hakuna faida ya muungano, huu ni ujinga na ushenzi mkubwa.
 
Unaitengeneza hoja ili ufurahishe tu nafsi yako......

Ingekuwa Zanzibar si sehemu ya Tanzania basi muda huu hatuna Rais wa JMT mpaka hapo tutakapompata kutoka huku bara....

UPUMBAVU KWELI NI UGONJWA USIO NA TIBA

Siempre JMT
Kwanini hakugombea urais 1995, 2000, 2005, 2010 au 2015 huyo mama yako wew Kibwetele? Acha kutumia Makalio kufikir wew
 
Kwanini hakugombea urais 2020 au 2015 unayo mama yako wew Kibwetele? Acha kutumia Makalio kufikir wew
Kwanini ulazimishe kuwa angegombea 2015?!!!

Kibwetere ni wewe usiyejitambua unayebweka kwa KIFICHO na kuwa na ID feki.......

Maagano ni kuwa anayeitaka Tanganyika awakumbuke wale G55......

#Siempre Serikali Mbili za JMT
 
Kwanini ulazimishe kuwa angegombea 2015?!!!

Kibwetere ni wewe usiyejitambua unayebweka kwa KIFICHO na kuwa na ID feki.......

Maagano ni kuwa anayeitaka Tanganyika awakumbuke wale G55......

#Siempre Serikali Mbili za JMT
Hayo maagano yenu ya vihiyo hayatuhusu sisi kizazi huru kinacho jitambua.Ndio maana tunajenga hoja hatutumii nguvu huu sio wakati funika kombe mwanaharamu apite. Tunaambizana ukweriiiii japo ukweli unauma. Kama Mtanganyika hawezi kugombea urais nchi ya Zanzibar ndivyo hivyo Mzanzibari hana sifa kugombea urais nchi ya Tanganyika.
 
M

Misimamo yako haiwawakilishi watanzania....si kisheria si kiutaratibu Wala mila.....

Bahati mbaya ninaongea na mtu asiye na weledi wa historia ya Tanganyika/Zanzibar na Tanzania zaidi ya kutanguliza matakwa ya moyo wake.....

Ya nchi ni zaidi ya UJINGA/UPUMBAVU NA MAHABA YA MOYO WAKO.....

Maagano hayo ni ya FAIDA ISIYOTETEREKA ya uhai wa taifa hili....UKIVIMBA PASUKA VIPANDE!

SIEMPRE JMT
 
Raia wa mwisho kuwa Rais wa Tanganyika kutoka Zanzibar alikuwa ndugu Ally Hassan Mwinyi. Baada ya hapo CCM wakaweka kizuizi kwa raia yeyote kutoka Zanzibar asigombee urais na badala yake Zanzibar ikatakiwa iwe inatoa mgombea wa Makamu wa Rais tuu kwa kila Chama Cha siasa hapa nchini.

Imefanyika hivyo Mkapa akiwa mgombea, Kikwete akiwa Mgombea na hata Magufuli akiwa Mgombea Zanzibar kazi yao ni kutoa wagombea wenza tuu. Kwa maana nyingine ni kuwa ili Mzanzibari awe Rais wa Tanganyika itabidi asubirie kudra za mwenyezi Mungu Rais wa Tanganyika akifa.

Ni kwa nini CCM hawataki Rais wa Tanganyika atoke Zanzibar wakati KATIBA inasema sifa ya mtu kuwa Rais ni awe raia wa kuzaliwa wa Tanzania? Hapo ndipo wenye Akili tunapo eleza utata wa Muungano huu feki japo CCM haitaki kueleza wazi kuwa raia wa Zanzibar anakosa sifa ya kuwa Rais wa Tanganyika ila wakaficha maradhi hayo kwa muda mrefu. Waswahili wana msemo kuwa mficha maradhi kifo kitamuumbua na kifo kimewambua kweriii kweriii.

Wiki iliyopita niliandika mada ngumu hapa kuhusu WAZANZIBARI. Nikasema kwa maoni yangu naona wanzanzibari sio Watanzania mada ikafutwa wenye Akili wakanielewa kwa vigezo hivi nilivyo eleza.

Nikaeleza kuwa Zanzibar ilikubali kuungana na Tanganyika ili waunde taifa moja la Tanzania. Lakini Zanzibar ikagoma kuua taifa lao huku Tanganyika ikafa na kuunda Tanzania taifa jipya. Hivyo Tanzania imezaliwa baada kifo Cha kikatili Cha Tanganyika na sio Muungano wa nchi mbili.

Lakini pia nikaeleza kuwa Zanzibar ni nchi huru, yenye mipaka yake, Serikali, Bunge, Mahakama na pia KATIBA na wimbo wa taifa. Zanzibar sio sehemu ya Tanzania Kama CCM wanavyotaka kutuhadaa kutuona wananchi ni mazuzu tusio jitambua. Sehemu yeyote iliyopo Tanzania haiwezi ikawa na Rais, Serikali yake,Bunge Mahakama, KATIBA, wimbo wa taifa lake na Bendera ya taifa.

Ni mwenda wazimu tuu anaweza kuamini kuwa Zanzibar ni sehemu ya Tanzania. Ikiwa Bukoba, Iringa, Mbeya, Tanga hizi ni sehemu za Tanzania na hazina Rais wao, Serikari, Bunge, Mahakama, Bendera ya taifa wala wimbo wa taifa basi utakuwa ni ubashite wa hali ya juu kusema Zanzibar ni sehemu ya Tanzania.Hakuna taifa hapa Duniani ni sehemu ya taifa jingine. Sijui mwanipata uzuri ninyi wadanganyika?

Ukweli mchungu ni kuwa WAZANZIBARI sio Watanzania wanalazimishwa tuu kwa malengo mficho. Msema kweli mpenzi wa Mungu na ni lazima tuambiazane ukweriiii.Huu sio wakati wakupakana mafuta kwa mgongo wa chupa. Samia aambiwe ukweli hana sifa za kuwa Rais wa Jamhuri ya Tanganyika. Akagombee kwao Zanzibar Kama anataka urais.

CCM wanayo kazi moja tuu Mbele kuifanya Zanzibar ikawa ni Jimbo au Mkoa wa Tanzania au kuirudisha Tanganyika zikaundwa Serikali tatu. Hatuwezi kuacha kulidai taifa letu la Tanganyika kwa sababu zozote zisizo na mashiko. Tutaendelea kulidai taifa letu la Tanganyika tena kwa wivu mkubwa.

Back Tanganyika.
Mimi hata asipogombea naenda kumpigia Samiah Suluhu Hassan kura, na atashinda kwa ushindi mnono.
 
Mzanzibari anatawala Tanganyika. Mtanganyika harihusiwi kutawala Zanzibar katika ngazi ya uraisi!

Sio ngazi ya Urais!..Chochote kile kinachohusiana na Zanzibar.Hata ajira SMZ watu wabara huwakuti.Samia kamteua Mzanzibari kuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa!.Haiwezi kutokea asilani Mtu wa Bara akawa Mkuu wa Wilaya ya Ndani ya Unguja au Pemba!.
Tanganyika tunalazimisha sana huu Muungano,na unatuumiza mno!.
Nikiona Jinsi Wazanzibar wanavyotuchukia kutoka moyoni na Leo Nchi yetu inaongozwa na Mzanzibar naona kama Tumepigwa nje ndani,***** walah.
 
Hakuna mwana CCM wenye Akili anakubali Samia kuwa Rais wa Tanganyika. Waliwakataa toka Mwinyi alipo maliza muda wake. Wapo wanafiki wengine wanajifanya kumpigania sio kwa Lengo la taifa Bali kulinda vyeo na maslahi yao binafsi. Sisi tusio na maslahi binafsi lazima tuwachane ukweriiiii kuwa Samia hana sifa. Tuna lipenda taifa letu na lazima tulionee wivu pale linapo chezewa na wajinga wachache.
 
Raia wa mwisho kuwa Rais wa Tanganyika kutoka Zanzibar alikuwa ndugu Ally Hassan Mwinyi. Baada ya hapo CCM wakaweka kizuizi kwa raia yeyote kutoka Zanzibar asigombee urais na badala yake Zanzibar ikatakiwa iwe inatoa mgombea wa Makamu wa Rais tuu kwa kila Chama Cha siasa hapa nchini.

Imefanyika hivyo Mkapa akiwa mgombea, Kikwete akiwa Mgombea na hata Magufuli akiwa Mgombea Zanzibar kazi yao ni kutoa wagombea wenza tuu. Kwa maana nyingine ni kuwa ili Mzanzibari awe Rais wa Tanganyika itabidi asubirie kudra za mwenyezi Mungu Rais wa Tanganyika akifa.

Ni kwa nini CCM hawataki Rais wa Tanganyika atoke Zanzibar wakati KATIBA inasema sifa ya mtu kuwa Rais ni awe raia wa kuzaliwa wa Tanzania? Hapo ndipo wenye Akili tunapo eleza utata wa Muungano huu feki japo CCM haitaki kueleza wazi kuwa raia wa Zanzibar anakosa sifa ya kuwa Rais wa Tanganyika ila wakaficha maradhi hayo kwa muda mrefu. Waswahili wana msemo kuwa mficha maradhi kifo kitamuumbua na kifo kimewambua kweriii kweriii.

Wiki iliyopita niliandika mada ngumu hapa kuhusu WAZANZIBARI. Nikasema kwa maoni yangu naona wanzanzibari sio Watanzania mada ikafutwa wenye Akili wakanielewa kwa vigezo hivi nilivyo eleza.

Nikaeleza kuwa Zanzibar ilikubali kuungana na Tanganyika ili waunde taifa moja la Tanzania. Lakini Zanzibar ikagoma kuua taifa lao huku Tanganyika ikafa na kuunda Tanzania taifa jipya. Hivyo Tanzania imezaliwa baada kifo Cha kikatili Cha Tanganyika na sio Muungano wa nchi mbili.

Lakini pia nikaeleza kuwa Zanzibar ni nchi huru, yenye mipaka yake, Serikali, Bunge, Mahakama na pia KATIBA na wimbo wa taifa. Zanzibar sio sehemu ya Tanzania Kama CCM wanavyotaka kutuhadaa kutuona wananchi ni mazuzu tusio jitambua. Sehemu yeyote iliyopo Tanzania haiwezi ikawa na Rais, Serikali yake,Bunge Mahakama, KATIBA, wimbo wa taifa lake na Bendera ya taifa.

Ni mwenda wazimu tuu anaweza kuamini kuwa Zanzibar ni sehemu ya Tanzania. Ikiwa Bukoba, Iringa, Mbeya, Tanga hizi ni sehemu za Tanzania na hazina Rais wao, Serikari, Bunge, Mahakama, Bendera ya taifa wala wimbo wa taifa basi utakuwa ni ubashite wa hali ya juu kusema Zanzibar ni sehemu ya Tanzania.Hakuna taifa hapa Duniani ni sehemu ya taifa jingine. Sijui mwanipata uzuri ninyi wadanganyika?

Ukweli mchungu ni kuwa WAZANZIBARI sio Watanzania wanalazimishwa tuu kwa malengo mficho. Msema kweli mpenzi wa Mungu na ni lazima tuambiazane ukweriiii.Huu sio wakati wakupakana mafuta kwa mgongo wa chupa. Samia aambiwe ukweli hana sifa za kuwa Rais wa Jamhuri ya Tanganyika. Akagombee kwao Zanzibar Kama anataka urais.

CCM wanayo kazi moja tuu Mbele kuifanya Zanzibar ikawa ni Jimbo au Mkoa wa Tanzania au kuirudisha Tanganyika zikaundwa Serikali tatu. Hatuwezi kuacha kulidai taifa letu la Tanganyika kwa sababu zozote zisizo na mashiko. Tutaendelea kulidai taifa letu la Tanganyika tena kwa wivu mkubwa.

Back Tanganyika.

Uko sahihi sana...

Ni MAKOSA sana na ni UWENDAWAZIMU mkubwa taifa la Tanganyika kuruhusu kuongozwa na Rais wa nchi nyungine...

Huu muungano ni magumashi tu na kwa kweli ndiyo msingi mkuu wa taifa la Tanganyika kuwa stagnant...
 
Wazee hivi na Zanzibar hii operation ya kuondoa machinga barabarani ipo? Au ni bara tu
Wao wameondoa zamani kimya kimya. Eneo la Darajani na Michenzani lilikuwa limejaa wamachinga lakini waliondolewa na sasa kuko shuwari kabisa
 
Back
Top Bottom