Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

Kujua kuandika majina ya watu wakati kichwani kwako ni kihiyo itakusaidia nini wew libashite? Sisi tunazingumzia hoja nzito za nchi wew Kibwetele unaleta kihoja Cha kujua kuandika majina ya watu. Acha kufikir kwa kutumia Makalio.
Huyu AMEHONGWA u-rc hivi karibuni, naona ndio tatizo.
 
Rekebisha kidogo hapo Mkuu, waligombea (Dr. Salim, Dr. Gharib, Jaji Augustine n.k) lakini hawakupitishwa na chama chetu. Walitupiliwa mbali huko kama maamuzi ya HOVYO ya ma- Jaji wa kesi dhidi ya Mh. Mbowe.
 
Yaani atafanyiwa "surprise" ambayo hatakaa aisahau kamwe, wewe muache tu aipotezee KATIBA MPYA. Atajua hajui huko mbeleni.
Angekuwa na Akili angehangaika na KATIBA mpya badala ya kuwafunga magerezani Watanganyika akina Mbowe huku akitumia janja kuwaachia WAZANZIBARI wenzake ndugu zake wa damu mashehe wa uamsho. Anafikiria sisi ni majuha tusijue kuwa alimwachia mdude ili kuweka ghiriba watu wasijadili kuachiwa Wanzanzibari wenzake.
 
Atuletee katiba mpya tuta muunga kwa mikono na miguu
 
Madaraka matamu hasa kwa viongozi wa kiafrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…