Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

Nitakuwa wa kwanza kwenda kumpigia Samiah kura. Nampenda sana Samiah.... Mmmmmmmwaaaa!!!
 
Ameshaanza kupandisha mabega anaamini kuwa ameshalisambaratisha Sukuma Gang.
 
Na yeye kumbe anajua kuwa Uhuru ni kigazeti cha uchochezi tu.
 
kushinda kwake kunategemea upinzani wataweka mgombea gani
Yaani we unaongea kama hauko tanzania. Wapinzani mbona wanashindaga lakini anayetangazwa ni mwingine. Jpm tu kabla hata watu hawajapiga kura alikuwa tayari ana kura nyingi ametengenezewa na tume na hilo lisu alilizungumzia. Ushindi wa ccm hautegemeani na kura za wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…