Rais Samia, Wananchi hatutaki madalali wa kisiasa kuingilia ujenzi wa reli ya SGR, tunataka plan ya Hayati Magufuli iheshimiwe kwenye SGR

Alafu tunachokitaka as wananchi siyo marumbano ya nani alianza nani kafanikiwa, NO

Kitu tunataka ni usiwepo ubadhirifu na upigaji kutoka kwa hao wakubwa kwa kufahamu kwao hazina ina pesa tayari ya SGR wao udenda unawatoka ili waibe.

Vinginevyo nchi hii haitasonga mbele kwa uwizi wa watu wachache.
 
Kupunguza gharama ilifaa ilianzie pugu SGR.pia Hakuna haja ya kutengeneza fly over madaraja ya juu ya kupita magari waweke mageti tu
 
Anajifanya yuko kitu kimoja na mwendazake
 
Habau wee upo less informed amna atakayekujengea reli ya umeme kww hiyo pesa mchina alitaka kujenga kama ile ya Kenya hata kikweta alisema hilo wew unashupa shingo tu
Umeelewa nilichoandika?!

Kuna mahali nimesema China angejenga reli ya umeme kwa hicho kiwango au nimeuliza hiyo figure ya 14.2billion/kilometer imetoka wapi wakati Mchina alipanga kujenga kwa USD 7.6 Billion/2560km?!

Btw, kwani issue ni Mchina au ni serikali yenyewe ndiyo iliamua kujenga reli ambayo sio ya umeme?
 
Man,

Narudia tena... SGR ni ile ile, hakuna TOFAUTI!!

Kuna vitu vingine wala havihitaji kujaza server lakini wakati mwingine tunalazimika kujaza server kwa ajili ya ubishi wenu. Anyway, TRC wenyewe hawa hapa:-
Unaona hapo wenyewe wamesema reli ya kisasa yenye upana wa 1.435m.

Mtandao wa Rail System wanatuonesha gauges tofauti tofauti hapa chini:-

Unaona hapo juu, wanakuambia SGR inakuwa na upana wa kati ya 1.435m hadi 1.451m, na TRC wamesema ina upana wa 1.435m.

Sasa kama SGR ya JPM ni tofauti na ile iliyokuwa planned tangu zamani, ina maana unataka kusema ya zamani haikufikia 1.435m ambayo ndo smallest SGR gauge?

Na kama haikufikia, how come iliitwa SGR wakati reli ambayo haijafikia 1.435 ni Meter Gauge kama iliyopo hivi sasa?!

Au unataka kusema inayojengwa sasa sio SGR bali Broad Gauge?

The problem unachanganya kati ya reli kuwa SGR na kuwa electrified!!!

Narudia, alichoongezea JPM ni ku-electrify the same planned SGR na sio kwamba SGR yake ina viwango tofauti! NImesema tangu zamani determination ni upana wa reli, na ndio unaleta tofauti kati ya SGR na Meter Gauge ambayo ni ya kizamani!!!

Upana wa reli una-determine uzito wa mzigo utakaobeba!! Kama reli ni pana, ina maana utabeba yale mabehewa mapana ambayo yanakuwa well balanced!!

Na kwavile yanakuwa well-balanced, utakuwa na uwezo wa kuunganisha mabehewa mengi zaidi, and in turn, mzigo mkubwa zaidi!!

Reli ikiwa electrified inasaidia tu kufikisha mzigo kwa haraka zaidi, tofauti na non-electrified railway!!

Na hata ukisikia inaitwa Reli ya Kisasa wala usidhani imeanza kujengwa miaka ya karibuni! Mwasisi wa SGR ni somebody George Stephenson... Google mwenyewe uone amekufa lini, lakini hadi anakufa tayari alishaacha SGR duniani!!
 
Mnapenda sana kujitetea, but we know what was there by then, hatudanganyiki...The history betrays you...Kwa mara nyingine tena neno ufisasi limerudi kwenye midomo ya watanzania, ask yourself why?
Kwa mara nyingine, acha kujifanya unanijua wakati HUNIJUI....
 
Kama huyo Mturuki anajenga vizuri na kwa gharama stahiki kwanini asiendelee na kipande cha Makutopora hadi Tabora?
Ukileta kampuni mpya inachukuwa muda ku mobilize human resource, pia na logistics nazo zina changamoto.
Mimi sipingi kuwepo kampuni za Kachina ila kama kasi ya ujenzi na ubora wa mradi upo vizuri na Waturuki basi tuendeleo nao.
Huwezi kuzui lobbying ya makampuni yanatafuta kazi,ila ubaya ni pale wanapopitia kwenye migongo ya watu mashuhuri kama viongozi wa serikali.
 
Unaandika maelezo marefu kama mwehu, kwa hiyo unampangia rais ?, kimsingi mimi yeyote anayefanya refference kwa magufuri mimi nampuuza sana, mwache Rais Samia afanye kazi yake, ana akili kuliko mtangulizi wake
 
Una moyo sana kubishana na watu wasiotaka kuelewa.

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Una moyo sana kubishana na watu wasiotaka kuelewa.

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Nimejifunza kitu kimoja JF! Kama ulivyosema "...watu wasiotaka kuelewa"!!

Ni kweli hao ni wengi sana... wapo wasiotaka kuelewa kwa sababu uwezo wetu wa kuelewa haraka unatofautiana, lakini pia wasiotaka kuelewa kwa sababu HAWATAKI kuelewa no matter what!!

Lakini uzuri ni kwamba, nje ya wale ambao kwa makusudi huwa HAWATAKI kuelewa, wapo wengine, ambao pengine wala hawashiriki mjadala lakini wao wangependa kuelewa uhalisia!!! Tena kwa kawaida hao ndo wengi zaidi!!

Sasa mtu usipojitoa, wale wanaotaka kwa dhati kabisa kuelewa, watalazimika "kuelewa" kile kinachosemwa na wale ambao HAWATAKI kuelewa lakini watadhani tayari wameshaelewa kumbe maskini ya Mungu inakuwa ama wamelishwa propaganda tu au kujazwa ujinga!!

So, don't be bothered to repeat the same thing over and over again, not for the sake ya wale ambao hawataki kuelewa but for the sake ya wale wenye NIA YA DHATI ya kutaka kuelewa!!
 
Hizi 2560km Kutoka Dar mpaka wapi
 
Makadirio ya awali ni kwa reli la viwango vya zamani, reli isiyo ya kisasa.
Huu mkeka uliotandazwa na JPM ni wa viwango vikubwa ndiyo maana gharama zimeongezeka!
Mnatuvuruga, kwenye uzi wako unadai bei ya mwanzo kutoka makampuni ya China pamoja na uzamani wake lakini walitaka bei ya juu zaidi lakini sasa baada ya wajuwaji wenzako kuweka data unabadilika na kusema vinginevyo sasa inakuwaje au una lengo lako lingine?
 
NDO NAANZA KUGUNDUA KWANINI WAZIRI WA UCHUKUZI dr Chamriho aliondolewa..Ndo napata majibu kwanini kalemani aliondolewa nishati akaletwa mwizi mkibwa kuongoza Nishato..Kumbe nyuma ya utwuzi kunania fiche ya kiongozi wetu wa nji
Wewe umetumwa na Kalemani ulete choko choko humu jukwaani. Watu wa RIP JPM mnaishi kwa maumivu makubwa ya moyo.
 
Design ya SGR ya Magufuli ni bora kuliko design ya SGR ya Kikwete. Huo ndiyo ukweli.
Sasa kujaribu kuturudisha kwenye SGR dizaini ya kizamani wakati JPM alikuja na kitu kizuri zaidi "electrified" hatuwezi kukubali
Haya ingia barabarani......kwani mlitaka (kwa jinsi mlivyoozeshwa akili) mama amended marekani? Ameenda na amerudi
 
Mwizi na dikteta magufuli hakuwa na ubora wowote zaidi ya kuwa janga la Taifa. Fiscal year 2016/2017 alikwapua hazina 1.5 trillions na pia fiscal year 2017/2018 alikwapua hazina 1.2 trillions akagomea uchunguzi huru, yote haya yaliandikwa katika ripiti za CAGs Assad na Kichere. Aligomea ukaguzi wa pesa za kununulia ndege zaidi ya trillioni tatu, kugomea ukaguzi wa TANROAD na pia ujenzi wa chto airport. Acheni kumsifia yule fisadi, mwizi na mbadhirifu mkubwa wa pesa za walipa kodi.

Kidogokidogo tutauelewa tu ubora wa Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…