Rais Samia, Wananchi hatutaki madalali wa kisiasa kuingilia ujenzi wa reli ya SGR, tunataka plan ya Hayati Magufuli iheshimiwe kwenye SGR

Itakubidi usali sana hizo sala zako, kwani dalili zinaonyesha huko ulikoweka matumaini yako makubwa ni tofauti na unavyodhani wewe.
 
He was a thug.
 
Reactions: BAK
Magufuli atabaki kuwa rais mbaya kupata kutokea Tanzania
 
Unaandika maelezo marefu kama mwehu, kwa hiyo unampangia rais ?, kimsingi mimi yeyote anayefanya refference kwa magufuri mimi nampuuza sana, mwache Rais Samia afanye kazi yake, ana akili kuliko mtangulizi wake

Hahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahaaaa!!!
Ana akili kuliko Magufuli?? hahahahahha
 
Design ya SGR ya Magufuli ni bora kuliko design ya SGR ya Kikwete. Huo ndiyo ukweli.
Sasa kujaribu kuturudisha kwenye SGR dizaini ya kizamani wakati JPM alikuja na kitu kizuri zaidi "electrified" hatuwezi kukubali
Hivi hili linawezekana kufanyika kwa sasa baada ya ujenzi wa kipande cha Dar hadi Moro kwa 'standard' iliyotumika, halafu aje mkandarasi mwingine aanzishe ujenzi ulio na 'design na standard' tofauti na kile kipande cha mwazo? Mbona hii itakuwa vurugu mechi ambayo haijawahi kufanyika popote!

Ninachkiona mimi katika mipango ya upigaji wanaotaka kuufanya hawa jamaa waliojipanga toka huko nyuma kabla ya Magufuli; wataendeleza 'design na specifications' zile zile zilizotumika katika kipande hiki cha mwanzo, Dar - Moro katika vipande vile vyote vilivyobaki, ila kupata ulaji wao makandarasi itawalazimu waongeze gharama mara dufu katika ujenzi wa vipande hivyo. ababu maradufu zitatolewa ku'justify' ongezeko hilo la gharama.
 
Inaonekana wewe huna uchungu na nchi hii. Huenda wewe ni mmoja wao. Mbona umecharuka) react) hivi??
 
Hii ndo State Capture wakati mabwanyenye wakishirikiana na wanasiasa waovu hula njama kuwaibia wananchi. Rais mstaafu Zuma aliingizwa humo na sasa anajuta kwa kuliibia taifa la A. Kusini
South Africa's former President, Jacob Zuma, is giving evidence this week at a commission set up to investigate corruption allegations during his time in office.
The inquiry takes its name from an academic term, "state capture", that has become a buzzword - shorthand for the multiple scandals that plagued the Zuma administration and eventually brought it down.

So what exactly is state capture?​

State capture describes a form of corruption in which businesses and politicians conspire to influence a country's decision-making process to advance their own interests. As most democracies have laws to make sure this does not happen, state capture also involves weakening those laws, and neutralising any agencies that enforce them.





















 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…