Pre GE2025 Rais Samia: Wananchi muache kuwachagua wanaowapa khanga na hongo hao sio wawajibikaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni 99.9% hawakubaliki
So Avunje Bunge tu otherwise ni parapanda tu
Umefanya lini tafiti? Mbona niliko wanakubaliaka? By the way watashindana ndani ya chama watakaoshinda kura za maoni ndio hao watapitishwa ila tuu wawe wanakubaliaka Kwa Wananchi.
 
Na sisi tutamchuja samia akae kando aendelee na kazi yake ya usekretari.

Tutamuweka Makonda akalie kiti cha enzi.
 
Wewe ni mpiga kura wa Kisesa au Nzega vijijini kuwasemea kuwa hawakubaliki au ni chuki binafsi tu?

In all fairness, hata yeye tumchuje tu.
 
Mbona anajiami na Katibu Mkuu wake kuwa fomu itakuwa moja,atoe nyingi aone.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Haina haja ya nyingi Kwa sababu utaratibu wa Chama unajulikana ,Sasa nyingi za nini wakati hakuna aliyejitokeza kushindana nae hadharani?

Pili Kwa nini 2020 mlichapisha fomu 1 ya Mwendazake?
 
Tuanze na yeye hafai kuwa hata kiongozi wa kikundi cha wacheza ngoma harusini
 
Mwakilishi wa viti maalum ajenga kituo cha wajasiriamali na awanunulia cherehani, basi yatosha!

Hivyo huyo uchaguzi ujao kapita.

CCM, Mungu awaangaza kila kona.
 
3. Bashiru ali kakurwa
4.Job Yustino Ndugai
 
Huyu ndo.anatakiwa kuwa wa kwanza kwenye mchujo

Na kwa nini amekataa anataka kadi ya ugombea iwe moja?

Haoni kwamba anajiabisha anapozungumzia wengine kuchujwa
 
Mbunge mchimbaji mdogo wa madini mwenye leseni za uchimbaji PML 's zaidi ya 120 .KULE JIMBO LA HAI, MAMA MKUMBUKE WAKATI HUO UKIFIKA.

Sheria inasemaje huko tume ya madini kuhusu idadi ya kumiliki leseni PML zaidi ya 120 mtu mmoja na haziendelezwi?

TISS fuatilieni mbunge huyo! Pia amejificha nyuma ya Doto kisa walisoma wote huko SAUTI MWANZA.
 
January Makamba - Bumbuli tangu 2010 hakuna jipya
 
Ongezea Samia hapo kazi kweka matozo tuu Kila sehem mpaka sukari hainunuliki sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…