ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #61
Kura za maoni zitaamua.Kama anakubalika jimboni ila hayuko royal kwenye chama Kwa nini asihamie upande wa pili si atachagulowa tuu?Choice Variable.....nakuheshimu wewe ni kijani mwenzangu lakini hapo kwa LUHAGA MPINA unazinguq
Nakushangaa aruhusu nini? Wewe umewahi msikia mwana CCM yeyeote akitamka hadharani kwamba anataka kupimana na Samia? Wote wanasema mama anatosha Sasa ruhusa ya nini unayotaka wewe?Si aruhusu aone iwapo atabaki...!
Tutapima upepoUsitusemee wana Kisesa. Hata akienda chama kingine Luhaga lazima tumchague. Acheni upumbavu wa kutuletea machawa.
Sent from my CPH2067 using JamiiForums mobile app
Naunga Mkono hoja. Pia Labda utaratibu wa kulambisha wajumbe asali ubadilike!!!Kwa Samia Kila mtu atavuna alichopanda,wagombea ambao hawakubaliki watakatwa.
No,kwani Lazima mwenye mtazamo tofauti atoke upande wa pili. MPINA wahuni ndani ya chama wanamhujumuKura za maoni zitaamua.Kama anakubalika jimboni ila hayuko royal kwenye chama Kwa nini asihamie upande wa pili si atachagulowa tuu?
Ndio maana ya kuwa na Mwenyekiti.Siku hizi wajumbe wanalamba asali na hawakuchagui.Naunga Mkono hoja. Pia Labda utaratibu wa kulambisha wajumbe asali ubadilike!!!
Mwaka 2015 JPM alipigiwa kura na Halmashauri kuu ya CCM pamoja na wagombea wengine watano akiwemo Membe, J. Makamba, Asha Rose Migiro, na Amina salum akashinda.Mwaka 2020 mlichapisha Kasi ngapi za mgombea?
Fomu nyingi za nini wakati sijasikia mtu yeyote akitoka hadharani kusema anataka kushindana na Samia kama Membe alivyojitokeza? Mpaka hapo Kuna haja ya fomu nyingi?
Harafu yeye hajawahi kusema ila wanaomkubali ndio wanasema fomu Moja bwege wewe
Hana staha Huwa anafanya ukosoaji kama ugomvi,kuna wengi wanakosoa kama Gachuma,Mbunge wa Makete,Yule wa Sengerema nkNo,kwani Lazima mwenye mtazamo tofauti atoke upande wa pili. MPINA wahuni ndani ya chama wanamhujumu
Na Mimi nimesema watu wajitokeze hadharani wachukue fomu kama wanaweza mshinda Samia ila Kwa kuwa wako kimya manake wanakubali mama anatosha zaidi ya kutosha.Mwaka 2015 JPM alipigiwa kura na Halmashauri kuu ya CCM pamoja na wagombea wengine watano akiwemo Membe, J. Makamba, Asha Rose Migiro, na Amina salum akashinda.
Baadaye akiwa na wagombea wengine watatu yaan JPM, ASHANA AMINA wakapigiwa kura na mkutano mkuu wa CCM Magufuli akashinda
Je Samia amewahi Kushindanishwa na nani nafasi ya urais ndani ya CCM na akashinda ?
Mpina hana Nongwa....wapokea hoja ndio wenye nongwa akiwemo choice variableHana staha Huwa anafanya ukosoaji kama ugomvi,kuna wengi wanakosoa kama Gachuma,Mbunge wa Makete,Yule wa Sengerema nk
Wako wengi wanawasha moto sana ila Mpina ana nongwa.
Achana na Mimi mpiga zumri wa jambazi makondaWewe nyumbu unajua nini zaidi ya kujaza kinyesi kichwani?
Yeye mwenyewe anatakiwa achujwe.Wakuu habari zenu.
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa JMT Samia SH amesema Chama hicho kikubwa na makini kitawachuja na kuwaengua Wabunge wote ambao hawawanibiki Kwa Wapiga kura wao na wanaosababisha chama kupakwa matope.
Kwa mustakabali wa CCM na Taifa ni vyema tumsaidie Mwenyekiti kuwataja Wabunge ambao hawawajibiki Kwa Wananchi na chama Chao.
Listi Inaanza na Hawa,unaweza ongeza na wengine 👇
1. Luhaga Mpina (Kisesa)
2. Hammis Kigwangala (Nzega Vijijini)
3...
Unaweza ongeza na wengine
My Take: Hakuna Ubunge wa Mseleleko 2025.
============
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema chama hicho kitawapima viongozi wao wakiwemo wabunge, wawakilishi na Madiwani kutokana na utendaji kazi wao kama ambavyo ilani ya CCM ilivyoahidi kuwaletea maendeleo wananchi wake
Rais Dkt. Samia ameeleza hayo wakati akizundua kituo cha wajasiriamali kilichopo Mahonda Mkoa wa Kaskazini Unguja kilichojengwa na Mwakilishi wa viti Maalum UWT kupitia Mkoa huo na Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na watoto Riziki Pembe Juma
Akiwa katika eneo hilo Dkt Samia amewataka wana-CCM kuwachagua viongozi wanaowajibika na kuacha kurubuniwa kwa kanga na fedha huku shughuli za maendeleo zikizorota
Amesema chama hicho kitataka kupata tathmini na kujionea juu ya hatua za maendeleo zilizofanywa na viongozi hao
Akiyataja mafanikio yatakayopatikana katika kituo hicho cha Wajasiriamali ni pamoja na kuwawezesha wananchi kiuchumi kupata shughuli rasmi ya kujiingizia kipato huku akiahidi kuongeza idadi ya Cherehani kwaajili ya kuendeleza harakati za kituo hicho
Dkt. Samia amehitimisha ziara yake leo katika mkoa wa Kaskazini Unguja ambapo kesho atamalizia ziara hiyo katika mkoa wa Kusini Unguja, Mjini na Magharibi
View: https://twitter.com/ccm_tanzania/status/1747622176277119336?t=dgSH5swozEznW9QWqIN4MA&s=19
Nani wa kumchuja Sasa? Mbona hawajitokezi?Yeye mwenyewe anatakiwa achujwe.
Punguza kujamba Jamba hovyoAchana na Mimi mpiga zumri wa jambazi makonda
kwa kuhoji changamoto za wananchi bungeni??Hawajibiki tena anakidhalikisha chama.
Mimi bingwa wa kuziba vijambio kama una tatizo kama la bashite mzibua vinyeo nipoPunguza kujamba Jamba hovyo
Kwa mara nyingine mods wamebadili heading.Hovyo kabisaWakuu habari zenu.
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa JMT Samia SH amesema Chama hicho kikubwa na makini kitawachuja na kuwaengua Wabunge wote ambao hawawajibiki Kwa Wapiga kura wao na wanaosababisha chama kupakwa matope.
Kwa mustakabali wa CCM na Taifa ni vyema tumsaidie Mwenyekiti kuwataja Wabunge ambao hawawajibiki Kwa Wananchi na chama Chao.
Listi Inaanza na Hawa,unaweza ongeza na wengine 👇
1. Luhaga Mpina (Kisesa)
2. Hammis Kigwangala (Nzega Vijijini)
3...
Unaweza ongeza na wengine
My Take: Hakuna Ubunge wa Mseleleko 2025.
============
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema chama hicho kitawapima viongozi wao wakiwemo wabunge, wawakilishi na Madiwani kutokana na utendaji kazi wao kama ambavyo ilani ya CCM ilivyoahidi kuwaletea maendeleo wananchi wake
Rais Dkt. Samia ameeleza hayo wakati akizundua kituo cha wajasiriamali kilichopo Mahonda Mkoa wa Kaskazini Unguja kilichojengwa na Mwakilishi wa viti Maalum UWT kupitia Mkoa huo na Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na watoto Riziki Pembe Juma
Akiwa katika eneo hilo Dkt Samia amewataka wana-CCM kuwachagua viongozi wanaowajibika na kuacha kurubuniwa kwa kanga na fedha huku shughuli za maendeleo zikizorota
Amesema chama hicho kitataka kupata tathmini na kujionea juu ya hatua za maendeleo zilizofanywa na viongozi hao
Akiyataja mafanikio yatakayopatikana katika kituo hicho cha Wajasiriamali ni pamoja na kuwawezesha wananchi kiuchumi kupata shughuli rasmi ya kujiingizia kipato huku akiahidi kuongeza idadi ya Cherehani kwaajili ya kuendeleza harakati za kituo hicho
Dkt. Samia amehitimisha ziara yake leo katika mkoa wa Kaskazini Unguja ambapo kesho atamalizia ziara hiyo katika mkoa wa Kusini Unguja, Mjini na Magharibi
View: https://youtu.be/sr8TOTZwZo4?si=lplOV1SmplGf6ShT