Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Rais samia amewashukuru wananchi kushiriki vilivvyo kwenye uchaguzi kuanzia kujiandisha pamoja na kujityokeza kwa wingi kupiga kura na kuchagua vviongozi wanaowataka.
Rais Samia ameongeza kwa kusema wananchi wamethibitisha kushiriki uchaguzi ndio njia ya kubadilisha viongozi wasioridhika nao, na sio kwa njia nyingine yeyote ile!
Rais Samia ameongeza kwa kusema wananchi wamethibitisha kushiriki uchaguzi ndio njia ya kubadilisha viongozi wasioridhika nao, na sio kwa njia nyingine yeyote ile!