PostGE2025 Rais Samia: Wananchi wamethibitisha kushiriki uchaguzi ndio njia ya kubadilisha viongozi wasioridhika nao

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Rais samia amewashukuru wananchi kushiriki vilivvyo kwenye uchaguzi kuanzia kujiandisha pamoja na kujityokeza kwa wingi kupiga kura na kuchagua vviongozi wanaowataka.

Rais Samia ameongeza kwa kusema wananchi wamethibitisha kushiriki uchaguzi ndio njia ya kubadilisha viongozi wasioridhika nao, na sio kwa njia nyingine yeyote ile!
 
Mteja anapo ingia dukani haombi (hapigi hodi) ruhusa kwa mwenye duka
 
Congenital Liar huyu mwizi Samia
Her days are numbered
Message sent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ