sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Hivi kweli kipande Cha sabuni enzi za Kikwete kilipanda kikafika shilingi Mia, eti juzi kwa utawala wako kimefikia shilingi 300/; nakumbuka mtungi wa Gesi ulikuwa kama sio 25000/; ulikuwa 30000/:leo hii kweli kutoka 45000/; mpaka 60000 serikali Iko kimya?
Kilo moja ya sukari ni 2800/: kabisa aise maisha yamepanda mpaka kiberiti nacho kimeanza uzwa shilingi 200/= hii bidhaa Huwa haipandi bei holela, Sasa hivi hadi pipi kifua imepanda bei
Mh Rais Hali ya maisha kitaa inaupiga mwingi najua wanao faidi ni wenye nacho ila ni vyema ukatafakari.