Rais Samia wananchi wanalia sikia kilio, nchi inaenda arijojo!

Rais Samia wananchi wanalia sikia kilio, nchi inaenda arijojo!

Hivi kweli kipande Cha sabuni enzi za Kikwete kilipanda kikafika shilingi Mia, eti juzi kwa utawala wako kimefikia shilingi 300/; nakumbuka mtungi wa Gesi ulikuwa kama sio 25000/; ulikuwa 30000/:leo hii kweli kutoka 45000/; mpaka 60000 serikali Iko kimya?

Kilo moja ya sukari ni 2800/: kabisa aise maisha yamepanda mpaka kiberiti nacho kimeanza uzwa shilingi 200/= hii bidhaa Huwa haipandi bei holela, Sasa hivi hadi pipi kifua imepanda bei

Mh Rais Hali ya maisha kitaa inaupiga mwingi najua wanao faidi ni wenye nacho ila ni vyema ukatafakari.
Na bado subirini dawa iwaingie
 
Mkuu The Sunk Cost Fallacy hebu twende taratibu, wakati uchumi wa dunia unaanza kuyumba kutokana na hicho unachosema covid, malighafi ya aukari, cement maji au kiberiti inatoka nje ya Tanzania?.
Kuna wakati lazima tuwe waangalifu kuwaepusha viongozi na uhalisia wa kiutawala dhidi ya wananchi wao.

Haiwezekani sukari isafiri kwa meri mwezi au miezi kutoka Brazil alafu ikifika hapa bei inakuwa chini ila ya hapa nyumbani inakiwa juu mmh!, Au cement kutoka Kenya iuzwe bei ya chini kuliko inayozakiwa hapa kwenu Tanzania, hiyo ni mifano michache tu.

Nadhani labda ungeweza kuandika kuwa wale wanaoitafuna nchi matajiri wameamua kurudisha pesa/mali zao zilizoporwa kwa miaka mitano huko nyuma kutokana na mnaouita utawala dharimu.
Watu wanatafuna nchi taratibu
 
Hivi kweli kipande Cha sabuni enzi za Kikwete kilipanda kikafika shilingi Mia, eti juzi kwa utawala wako kimefikia shilingi 300/; nakumbuka mtungi wa Gesi ulikuwa kama sio 25000/; ulikuwa 30000/:leo hii kweli kutoka 45000/; mpaka 60000 serikali Iko kimya?

Kilo moja ya sukari ni 2800/: kabisa aise maisha yamepanda mpaka kiberiti nacho kimeanza uzwa shilingi 200/= hii bidhaa Huwa haipandi bei holela, Sasa hivi hadi pipi kifua imepanda bei

Mh Rais Hali ya maisha kitaa inaupiga mwingi najua wanao faidi ni wenye nacho ila ni vyema ukatafakari.
Mama ni kiziwi. Ila kazi iendeleee mpaka basi.
 
Back
Top Bottom