Nimepitia post zako nyinyi Sana kutoka kujua ni MTU wa Aina gani na VP unajiamini. Je uwezo wako wankiakili unaendana na unavyojiamini nikichogundua ya kuwa karibu ya post zako zote inaonyesha uwezo ndogo Sana wa kuandika si kiswahili na kingereza. Mpaka hii Leo umeshindwa kutofautisha wapi inatakiwa uweke heru "r" na wapi uweke herufi "l". Baada ya kugundua hilo. Nikiwa ishara tosha MTU wa kupuuzwa ni wewe!Acha kupoteza mda wako kusikiliza wajinga