Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Too late.[emoji1787][emoji1787] Kumbe muoga, Nimeona wamefuta kile kipande wana mkashifu hayati Magufuli kua alikufa kwa Covid.
Hiyo documentary aisee imewaumiza watu wengi mno.[emoji1787][emoji1787] Kumbe muoga, Nimeona wamefuta kile kipande wana mkashifu hayati Magufuli kua alikufa kwa Covid.
Imeumiza kikundi kidogo cha Wafuasi wa Punguwani.Hiyo documentary aisee imewaumiza watu wengi mno.
Na ikawafurahisha wanaoruka kwa helikopta kukagua vibao vilivyokosewa.Imeumiza kikundi kidogo cha Wafuasi wa Punguwani.
Hayo ni madogo uki compare na zile hasara za kujenga International Airport Kijijini.Na ikawafurahisha wanaoruka kwa helikopta kukagua vibao vilivyokosewa.
Afute na kile wanashikana mikono. Kinakela wengi pia. Ooh Yeah[emoji1787][emoji1787] Kumbe muoga, Nimeona wamefuta kile kipande wana mkashifu hayati Magufuli kua alikufa kwa Covid.
Mi nilikuwa nahangaika kubadili channel kwa sababu ya picture quality, nilidhani inaonyeshwa tbc..kucheki kumbe ni azam tv..nikakumbuka alichosema yule dr kuhusu ubora wa picha.Sijaona cha maana zaidi ya kufagilia usislamu wa visiwan..as if nchi hii niya wavaa kobazi.
Kulikua na haja gani ya kwenda msikitini..basi angeenda na kanisani na kwenye mapango ya kutambikia mana hii nchi ina kila aina ya imani.
Kingine picha ni low quality..yule prof sijui daktari wa UDSM alikua sahihi kabisa.
#MaendeleoHayanaChama
Bora hasara ya kujenga international airport kijini kuliko kuliko kukodi cd tanesco ya mabilion ya walipa kodi ya watanzaniaHayo ni madogo uki compare na zile hasara za kujenga International Airport Kijijini.
Unajua sometime quality ya video inategemeana umeichekia wapi? Eg wawezakuta video imechekiwa kwenye lead to hiyo hitaiona Bora hata kwa dawa.
Pia setting za tv au uwanja wako wa video wawezakuta umesetiwa katika rangi zinazomfurahisha mmoja but mwingine aona michosho.
Nb.
Kutokana na uzoefu wangu katika film na Tv ubora wa picha hauzuii uthabiti wa kupata maudhui Bora Kama lengo kuu la wahusika lilivyoamuliwa iwe. Wazi?
Wanafuta wakati clip imesambaa ina saidia nini?[emoji1787][emoji1787] Kumbe muoga, Nimeona wamefuta kile kipande wana mkashifu hayati Magufuli kua alikufa kwa Covid.
Kweni kakodi ili ikatumike Bumbuli? si kwa ajili ya Watanzania wote.Bora hasara ya kujenga international airport kijini kuliko kuliko kukodi cd tanesco ya mabilion ya walipa kodi ya watanzania
Wewe unafikiri kwa nini wamefuta? Wanajua wananchi watachukia. Lakini wanasahau kwamba hii ni karne ya teknolojia, documentary ishaonekana. Watu wanakazana kumchafua marehemu, haeajui inachafua serikali yao pia mana huku tuliambiwa tatizo la moyo lkn kwenye royo tua tunaambiwa inasemekana ni Covid.Imeumiza kikundi kidogo cha Wafuasi wa Punguwani.
Siyo kashfa, bali ndiyo hali halisi, aliipuza COVID-19 nayo COVID ikamjibu hapo na wapambe wake[emoji1787][emoji1787] Kumbe muoga, Nimeona wamefuta kile kipande wana mkashifu hayati Magufuli kua alikufa kwa Covid.