Rais Samia wape meno TFS, anzisha kampeni ya upandaji na utunzaji Miti Tanzania nzima. Iongozwe na vijana wa kujitolea JKT

Stories of Change ilikuwa idea Nzuri ila Kwa muono wangu ni kuchoreshana tu. JF watu wengi wanatumia fake id’s. Kuleta shindano humu na kuweka vile ni kutowatendea haki watu wengi wenye madini humu!

Ila All in All nchi yetu inahitaji mawazo mazuri na chanya kutoka kwa kila mtu ili iweze kuendelea Kweli!

Mambo ya hovyo yanapoteza sana muda wa watu wengi hapa Tanzania na hata Africa! Kikubwa Mungu kaweka wachache tufanye Kwa niaba ya wengi ili wengi wapone!
 
Uko sahihi kabisa ndugu! Haya maeneo ya kumazingira kupata hela huko duniani ni nje nje na wala uhitaji kutumia nguvu sana!

Ni rahisi sana kupata mabilioni ya fedha kwenye hii miradi ya tukaja kuyatumia kuzalisha miti ya kutosha ya kupanda maeneo mbalimbali hapa nchini
 
Vijana hao wa CCM?
akina
1. Msando [Anayeonekana kwenye gari akichezea yuyu ya msanii wa bongo fleva]
2. Hamza.
3. Sabaya .
4. Musiba
5. Kihongosi.
6. Shaka Hamdu.
7. Ali Happy
8. Wema Sepetu?
 
I
Vijana hao wa CCM?
akina
1. Msando [Anayeonekana kwenye gari akichezea yuyu ya msanii wa bongo fleva]
2. Hamza.
3. Sabaya .
4. Musiba
5. Kihongosi.
6. Shaka Hamdu.
7. Ali Happy
8. Wema Sepetu?
Hao uliowataja ndo vijana wa JKT? Au umeamka na hangover ndugu?
 
I

Hao uliowataja ndo vijana wa JKT? Au umeamka na hangover ndugu?
inasemekana ni zaidi ya JKT, wengine ni "anda-kava"

sinywi, nipo mahakamani najiandaa na kesi za mention leo, si unajua kesho mapumziko, napunguza mafaili hapa mengine nataka kumpa msajili ahairishe mapema.
 
Umeelewa mada au umekuja tu nduki ili uweke comment yako?
 
Hicho ndo kinasababisha nisitembelee Hiyo mikoa. Nakereka sana napoona huo uharibifu wa mazingira uliokithiri.Angalau mikoa ya kusini kunaafadhari. So sad.
Mbaya zaidi unapotembelea mikoa hii Kuna sehemu chache unapita mf. Kuingia Singida Mjini kutokea Manyoni unaona Kuna watu walijaribu kupanda Miti na ikakubali sasa kumbe Tatizo sio kwamba Miti haioti Ila ni uvivu na uzembe tu wa kupanda Miti na kuboresha uoto kwenye maeneo husika
 
Mabalozi wetu wwnakula bata tu huko nje huoni anaehangaika majina yao huwa tunayasikia mara mbili tu

Siku wanapoteuliwa na siku wwnarudishwa nyumbani basi
Kweli yako hela ziko nje nje ni suala la kuomba tu
 
Mama hana roho ya uongozi hana kitu chochote deep ya moyo wake ambacho kinamkeleketa kuhusu mambo ya kuijenga tz yupo yupo tu kama gari bovu
 
Waziri wa mazingira anafanya nini? Haya mambo mengine wanayaweza. Ila mpaka watumwe. Kipindi cha mvua, kila mwaka tungeweza kuweka target ya miti mingapi ipandwe. Milima kama Ulugulu miti imehs kabisa
 
Mama hana roho ya uongozi hana kitu chochote deep ya moyo wake ambacho kinamkeleketa kuhusu mambo ya kuijenga tz yupo yupo tu kama gari bovu
Wewe ni nani hadi uweze kuona Kama mtu ana roho ya Uongozi au hana?

Punguza chuki zako dhidi ya Samia! We endelea kukonda kwa chuki zako wakati Mama Samia anazidi kuwakonga nyoyo watanzania wenye akili kwa utendaji wake mahiri
 
Waziri wa mazingira anafanya nini? Haya mambo mengine wanayaweza. Ila mpaka watumwe. Kipindi cha mvua, kila mwaka tungeweza kuweka target ya miti mingapi ipandwe. Milima kama Ulugulu miti imehs kabisa
Umesema vyema kabisa! Hili suala la kupandanda Miti maeneo mbalimbali nchini linaweza kuandalia na kufanywa vizuri pale nchi inapoenda kuingia msimu wa mvua maana hili pia litapunguza gharama za umwagiliaji
 
Wewe ndio mzalendo. Swala la kutunza mazingira wizara ya mazingira sijui huwa ina kazi gani?? NEMC inasubiri Mbunge wa Chadema ajenge nyumba ndio watumwe na Sabaya kuja kubomoa
 
Ni rahisi tu wananchi wanakosa uongozi. Kila kaya ikipanda miti 5-10 kwenye maeneo yao nchi nzima inaweza kuwa na impact kubwa bila kutumia gharama
 
Naunga mkono hoja. Mimi ninaposafiri nakushuhudia mistu inavyochomwa moto nahuzunika sana
 
Acha kuchanganya Siasa na huo upuuzi mwingine. Siasa ndio maisha ya kila mwanadamu hapa duniani
 
Wewe ndio mzalendo. Swala la kutunza mazingira wizara ya mazingira sijui huwa ina kazi gani?? NEMC inasubiri Mbunge wa Chadema ajenge nyumba ndio watumwe na Sabaya kuja kubomoa
Asante Mkuu. Kweli kabisa hizi jitihada zilitakiwa ziwe zinafanywa na Taasisi zinazohusika na masuala ya Mazingira ila ndo ivyo zimelala hadi ziamshwe
 
Ni rahisi tu wananchi wanakosa uongozi. Kila kaya ikipanda miti 5-10 kwenye maeneo yao nchi nzima inaweza kuwa na impact kubwa bila kutumia gharama
Sahihi! Kuna njia nyingi sana za kufanikisha hili jambo ili kuokoa mazingira yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…