Rais Samia wape meno TFS, anzisha kampeni ya upandaji na utunzaji Miti Tanzania nzima. Iongozwe na vijana wa kujitolea JKT

Hili suala la upandaji miti kwa kweli linahitaji msukumo wa kipekee wa serikali na asasi nyingine binafsi.

Lakini pia sisi wenyewe raia tubadilike maana wanaokata miti na kuharibu misitu ni sisi wenyewe au ndugu zetu.

Vinginevyo tutawaacha watoto wetu kwenye nchi ya taabu na majuto makubwa na watalaani makaburi yetu.

Tena watayachoma moto makaburi yetu na kila siku kutulaani kwa uharibifu huu
Yaani waone picha za sehemu zenye miti na kijani tupu halafu wafananishe na hali watakayoikuta watatushangaa sana
 
Tukiendelea kucheka kana kwamba hakuna kesho tutajikuta nchi ina uhaba wa mvua, chakula hakitoshi na mabwawa yetu ya umeme tuliyoyajenga kwa gharama kubwa hayana maji ya kutosha kuzalisha umeme!

Hapo ndo watoto wetu watafungua Kweli makabuli na kuchunguza vichwa vyetu
Itakuwa aibu kubwa
 
Tena watayachoma moto makaburi yetu na kila siku kutulaani kwa uharibifu huu
Yaani waone picha za sehemu zenye miti na kijani tupu halafu wafananishe na hali watakayoikuta watatushangaa sana
Umenifanya nimewaza hapo kuhusu picha dah!!!!!
 
Wewe ni nani hadi uweze kuona Kama mtu ana roho ya Uongozi au hana?

Punguza chuki zako dhidi ya Samia! We endelea kukonda kwa chuki zako wakati Mama Samia anazidi kuwakonga nyoyo watanzania wenye akili kwa utendaji wake mahiri
Tunaona kwa jicho la AKILI kwani ujui akili ni jicho?
 
Facts, hata hifadhi nyingi vimebaki vichaka, miti Ni njiani usoni pekee; Inabidi pawe na mipango tafiti pawe na blocks za hardwood za muda mfupi za kibiashara katika baadhi misitu ya hifadhi pia. .Modes wekeni flag uzi ukae top ten jukwaa hili wadau wengi na Wahusika wafanya maamuzi wapitie.
 
Modes wekeni flag uzi ukae top ten jukwaa hili wadau wengi na Wahusika wafanya maamuzi wapitie.
Asante kwa wazo zuri! Natumai@moderator atafanyia kazi wazo lako
 
Kila kitu mnasukumia JKT wakati hamtaki kuwatunza kama inavyotakiwa. JKT kwa shughuli za JKT waacheni vijana wetu wajifunze mbinu mpya za kuilinda nchi yetu. Kama raia wenyewe hamuoni umuhimu wa kupanda mti msiwasukumia vijana wa JKT.

Wananchi wajipange, Watanzania tupo madhalani 60 million kila mtu/familia a/ihimizwe kupanda miti 12 kwenye maeneo yao kwa kila mwaka na kuhakikisha haifi. Wataalamu wa miti washirikishwe kwenye maeneo tofauti tofauti, na msimu wa mvua ndio huo unakuja.
 
Tatizo pia ni rais ,yeye anaamini kila kitu ni cha kukiombea mkopo/msaada ili akitimize.magufuli alianzisha vitu vingi kwa kuanza yeye then mikopo baadae.

Kwenye hotuba yake ya UNGA ,samia alisema anahitaji msaada kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi.inabidi yeye aanze ,then hayo mashirika yakiona juhudi zake ndiyo yatampa msaada.akiendelea kusubiri,atazidi kusubiri mpk nchi yote iwe kame.
 
Umewaza vizuri sana na itapendeza serikali ilifanyie lazima kila famili kijijini na mijini kaa zenye maeneo zioteshe miti ya asili na isimamiwe kwa nguvu ya dola.
 
BTW waharibifu wakubwa wa mazingira ni nchi za ulaya, Marekani na Asia.

Climate Change Will Melt All Glaciers In Africa By The 2040s, UN Report Says​

Climate Change Will Melt All Glaciers In Africa By The 2040s, UN Report Says (forbes.com)

All three glaciers in Africa are expected to disappear by the 2040s due to climate change, which the UN climate agency said symbolizes the “threat of irreversible” change to the Earth system, according to a report on climate change trends by the World Meteorological Organization and African Union agencies.

1634663787747.png

Mount Kilimanjaro in Tanzania is one of the three glaciers in Africa that is expected to disappear ...
Credit: BONGARTS/GETTY IMAGES

KEY FACTS​

Three glaciers — Mount Kenya massif in Kenya, the Rwenzori Mountains in Uganda and Mount Kilimanjaro in Tanzania – that are of “eminent touristic and scientific importance” are on track to disappear by the 2040s, the report released Tuesday said.

Mount Kenya is expected to melt a decade earlier than the other two mountains due to human-induced climate change, the report said.

Africa saw its third-warmest year on record in 2020, the report said, citing a dataset.
WMO chief Petteri Taalas said in a statement that investments are “particularly needed” in capacity development and technology transfer to help Africa navigate climate change that’s also expected to impact the region’s economy and poverty.

SURPRISING FACT​

The report estimated that as many as 118 million extremely poor people, those who live on less than $1.90 a day, will face drought, floods and extreme heat in Africa by 2030. The looming change will hamper economic growth and efforts to alleviate poverty, Josefa Sacko, African Union Agriculture Commissioner, said in a statement. Dealing with climate change could lower Africa’s gross domestic product by up to 3% by 2050, the report added.

CRUCIAL QUOTE​

“The rapid shrinking of the last remaining glaciers in eastern Africa, which are expected to melt entirely in the near future, signals the threat of imminent and irreversible change to the Earth system,” Taalas said in a statement.

KEY BACKGROUND​

Even though Africa is responsible for less than 4% of greenhouse gas emissions, it is disproportionately affected by climate change, Reuters reported. In a report released last Monday, the World Health Organization said climate change is the biggest threat to people’s health, as hotter weather threatens to take back 50 years of improvements made on global health.

TANGENT​

Africa accounted for more than one in 10 new population displacements worldwide, the WMO report said. Over 1.2 million people were displaced due to storms and floods, and conflict caused nearly 500,000 people to leave their homes in 2020.
 
View attachment 1979919

Tusipochukua hatua tunaelekea pabaya sana
 
Umewaza vizuri sana na itapendeza serikali ilifanyie lazima kila famili kijijini na mijini kaa zenye maeneo zioteshe miti ya asili na isimamiwe kwa nguvu ya dola.
Hatuna namna zaidi ya kutumia njia hii ya kupanda miti
 
Muongoz mzuri sana, ngoja wapitie...
Kupitia sio shida! Je watatekekeza na kusimamia? Sasa mabwawa yanayojengwa kwa fedha nyingi yanaenda kukosa uwezo wa kuzalisha umeme. Kuna uwezekano Pia hata maji yakawa changamoto! Swali Je tutaweza kutumia teknolojia za bei aghari Kama za Israël na Saudi Arabia za kusafisha Maji ya Bahari ili kutumia Kwa ajiri ya kunywa Kwa uchumi wetu huu ambao bado sio imara?
 
Back
Top Bottom