Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Kutumia uwingi wakati unaandika fikra zako binafsri ni unafiki ambao kila mwenye akili, hata Rais mwenyewe atakupuuza.GTs,
Ni dhahiri Rais wetu Samia ameonesha uwezo mkubwa sana wa uongozi katika kupindi ambacho amekuwa na haya madaraka ya Urais. Na muitikio wa Watanzania wa kumuunga mkono 2025 ni mkubwa sana na hamasa ipo juu mno kuhusu kumpa kura za ndiyo 2025.
Wanaosema eti siyo mkali hawana hoja kwa sababu nchi yetu haihitaji Rais mkali bali tunahitaji mifumo mathubuti ya kuwajibisha wanaoiba au hao mafisadi. Rais Samia kwenye hilo kaliweza ndiyo maana tunamhitaji Rais wa aina yake yaani ikiwezekana hata mpaka 2040 kabisa maana tunahitaji mifumo ifanye kazi na siyo kutegemea tu eti Rais awe mkali.
CCM Oyee, Rais Samia Oyee, Rais Samia mitano tena, Rais Samia 2025 Yess, kazi iendelee.
Wewe huna umiliki wa mawazo ya watu wengine. Una uhuru wa kuandika hisia zako binafsi, lakini kuzigeuza hisia zako binafsi kuwa ndiyo hisia za Watanzania wote, ni uhayawani na unafiki wa kupuuzwa.