Pre GE2025 Rais Samia, Watanzania tunakupenda sana na tuna imani na wewe. 2025 lazima Ushinde kwa Kishindo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kutumia uwingi wakati unaandika fikra zako binafsri ni unafiki ambao kila mwenye akili, hata Rais mwenyewe atakupuuza.

Wewe huna umiliki wa mawazo ya watu wengine. Una uhuru wa kuandika hisia zako binafsi, lakini kuzigeuza hisia zako binafsi kuwa ndiyo hisia za Watanzania wote, ni uhayawani na unafiki wa kupuuzwa.
 
Wapende au wasioende,wanune au wavimbiwe imeisha hiyo 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…